Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

Binafsi siamini hivyo.
Nimeishi na wapendwa wangu wadada wa kichaga,hayo yasemwayo Wala sikuyaona kwao.
Hata wao wakawa wanasema kuwa watu wa Mbeya huwa mnasemwa hivi,kumbe ni uongo.
Me naamini ni hulka ya mtu tu wala sio kabila kwa ujumla...........
 
Yah
Kweli

Ila humu jf ukisema hivyo hawakuelewi..
Yaani wakianzisha mada ...wanavyoponda haya makabila[emoji1787]utashangaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona ivyo jua ni wenyeviti wa ukoo hao wanatafutaja hoja😂😂😂😂
Ukiskia mawazo mgando ndo hayo yaani yameganda kweri kweri in hayati voice😂😂😂
 
Ukiona ivyo jua ni wenyeviti wa ukoo hao wanatafutaja hoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiskia mawazo mgando ndo hayo yaani yameganda kweri kweri in hayati voice[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tunatembea vifua mbereee
Nasema uongo ndugu yangu?
 
Mimi siamini katika kuomba omba.
Mtu akiona umuhimu wa kukupa atakupa,na mtu asije kaa akisubiri mimi nitamuomba...never.

Sema hii dunia kuna watu sijui wapoje,akishajua tu kuwa unampenda basi atakunyanyasa hadi ukome.
Heri yako kama unajitambua kiasi cha kujua kutofautisha mapenzi na pesa. Kupewa pesa sio kigezo cha kupendwa ila ni hali ya kuonyesha concern tu japokuwa hufanyika kimkakati na matapeli wengi wa mapenzi ili kurubuni nafsi za watoto wa kike wenye kuwakwa na tamaa 😁!

Kwa level yako ya ufahamu binti kigoli kama wewe unastahili taji. Acha kuchezewa na wahuni njoo kwangu ule mema ya nchi😁 utapendwa adi upate uchizi maana nina power bank ya upendo.
 
Demu yeyote ataongeza mapendo kwako endapo ukipewa nafasi ktk six kwa six ujitume ki romantic sio umpakie mcongo uende ukatoe muku kwa mtoto wa watu hapo hatokupenda. Lkn ukijituma ki romantic katoto kawatu ukakafikisha climax mapema mapema tu bac atakupenda tu. Mm nikitongoza ka demu ka beki tatu ka mpangaji mwenzangu kalikuwa hakanipendi sasa kenyewe kakanikubalia kwa minajili eti niwe buzi lake ..eiiiii kaka jiroga kunipa uroda eiiiiii nilikapa vitu vya kikubwa adimu bac kalitokea kunipenda balaaa yaan first class
Kakiandaa msosi wa boss wake na mm kananiletea shea yangu, kakipokea mshahara sasa kalikuwa kananileteaga zawadi
 
Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.

Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi.

Bado nawaza aise.
Nilichojifunza wanaume wengi hatukutani na wanaotupenda kwasababu hatujichanganyi katika mazingira yenye hao wanaotupenda.

Ni hayo tu.
Endelea kumuomba Mungu shetani asitie kidole chake hapo,kabla haijabadilika kuwa kinyume chake...
 
Tafuteni pesa vijana wewe ndio wa kumfurahisha mwanamke ndivyo nature ilivyo sasa hapo mwanamke anachukua majukumu ya mwanaume na wewe unakenua tu na hujiongezi. Ndgu mwanamke anapenda kununuliwa vitu, zawadi, pesa na ishu kama izo usikute anakushtua wewe nawe ujiongeze.
 
Heri yako kama unajitambua kiasi cha kujua kutofautisha mapenzi na pesa. Kupewa pesa sio kigezo cha kupendwa ila ni hali ya kuonyesha concern tu japokuwa hufanyika kimkakati na matapeli wengi wa mapenzi ili kurubuni nafsi za watoto wa kike wenye kuwakwa na tamaa [emoji16]!

Kwa level yako ya ufahamu binti kigoli kama wewe unastahili taji. Acha kuchezewa na wahuni njoo kwangu ule mema ya nchi[emoji16] utapendwa adi upate uchizi maana nina power bank ya upendo.
Aya ya mwisho umevuruga kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom