B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Me naamini ni hulka ya mtu tu wala sio kabila kwa ujumla...........Binafsi siamini hivyo.
Nimeishi na wapendwa wangu wadada wa kichaga,hayo yasemwayo Wala sikuyaona kwao.
Hata wao wakawa wanasema kuwa watu wa Mbeya huwa mnasemwa hivi,kumbe ni uongo.