Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
hongera mkuu, ila edit comment maana umechapia sana mkuuNakubali kaka mim mwenyewe nilikuwa naletewa zawadi dah nikajiona mim handsome demu nikawa namuendesha navyo taka hadi natuna nikaachwa dah nimezuzula kubata demu wakunipa ela na zawadi nimekosa wote nao kutana nao wananichuna dah nimeamua bora nirudie matapishi x wangu nirudiane kwanza mzuri kinoma halafu anajali
sema ndio hivyo,Tatizo lenu mkishajuwa hapa napendwa mnaanza kuharibu,..
ππππππTimu Roho Mbaya hapa...
View attachment 1737240
ππππππππwala sio shuga mami ni mtoto haswa mkuu, sema nina wasiwasi asije akawa ana invest.Acha mbwembwe kijana... Kwanza embu yueleze Mahusiano yenu yana mda gani?
Eti wala hatokuwa na shida na pesa zako. [emoji16][emoji16][emoji16] Ni suala la mda tu. Anakuvutia kasi, siku akianza kukutandika spana za kichwa ndo akili itakujia otherwise iwe umekutana na shugamami huko. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mmerudiana lakini ukae ukijua kashajanjaruka huyo... na sio wa kumuendesha tena kama ulivyokuwa unamuendesha na kumtukana. Mwanadamu ukipata bahati itumie vizuri, ukiipoteza mwisho ukaja kuipata tena kamwe haitakuwa kama ile ya mwanzo.Nakubali kaka mim mwenyewe nilikuwa naletewa zawadi dah nikajiona mim handsome demu nikawa namuendesha navyo taka hadi natuna nikaachwa dah nimezuzula kupata demu wakunipa ela na zawadi nimekosa wote nao kutana nao wananichuna dah nimeamua bora nirudie matapishi x wangu
Kama anaeleweka nawe muonyeshe upendo pia kwa vizawadi zawadi. Usisubirie kupewa tuu, bali nawe inapaswa ujiongeze kijanja.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wala sio shuga mami ni mtoto haswa mkuu, sema nina wasiwasi asije akawa ana invest.
Na wote wapo hivyoTatizo lenu mkishajuwa hapa napendwa mnaanza kuharibu,..
Sio kweli ππππNa wote wapo hivyo
KweliSio kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushawahi kudate na mimi
Hamu ya kuwa kwenye mahusiano?Kweli
Nimeshuhudia mwenyewe,hamu sina.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamu ya kuwa kwenye mahusiano?
Umeshuhudia wapi jaman
Kama watu wengine wanaonesha effort ya kukuhitaji huwataki huwa wanakulaaniππππ hupati amani kwenye mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukishaonyesha tu kuwa unampenda sana mtu anaanza kukuona mjinga.