Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mnaanza vizuri ,,baadaye mwanamke unaongeza upendo basi anakuona boya[emoji23][emoji23]anakutesa akijua kabisa huwezi kumuacha.Afu hawapendeki hawa watu,wanatumia upendo huo kama fimbo kwa aliyependa sana
Teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mangi[emoji7]Aya ngoja nikuache.
Ngoja nikasome kitabu changu cha Rules of marriage usiku mwema ππππTeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba???
Nina mambi mengu sitaki kutaja nini iyo wanawake kwa kumbukumbuππππMangi[emoji7]
Ah leo nimejua ..siku ile ulisema hutaki kutaja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikasome kitabu changu cha Rules of marriage usiku mwema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiapize,utampata tu na usijutie kuwa na upendo wa namna hiyo una raha yake mom na ndo upendo halisi ....ukiona humjali mpenzio ingawa yeye anajali yaan hapo umejiforce kupendaMnaanza vizuri ,,baadaye mwanamke unaongeza upendo basi anakuona boya[emoji23][emoji23]anakutesa akijua kabisa huwezi kumuacha.
Kumbe unamvutia tu siku!Kuna muda uvumilivu ukifikia tamati basi unajichomoa anabaki haamini.
Mimi sitakuja fanya tena hayo makosa ya kumuonyesha mtu kuwa namjali sana...hawajui wanachotaka hawa
Kabila[emoji2960]Nina mambi mengu sitaki kutaja nini iyo wanawake kwa kumbukumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuonyesha tena huo upendo labda kwa mtu anayejitambua.Usiapize,utampata tu na usijutie kuwa na upendo wa namna hiyo una raha yake mom na ndo upendo halisi ....ukiona humjali mpenzio ingawa yeye anajali yaan hapo umejiforce kupenda
Moyo wangu mbona nimekupa unataka moyo gani tena wewe wako hujanipaππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinitishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Mbona tunatishana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupeane mioyo
Saaa ukisema unaskia tu na roho mbayaππππ na mimi nikisema nayoyaskia kuhusu mbeya e.g. Wanyakyusa wanavoingiliana wao kwa waoπππππ hizi ni stori tu za wazee au na weww unawaskiliza?Kabila[emoji2960]
Leo kiulaini umetaja mwenyewe...
Ila nasikiaga mna roho mbaya,wabaguzi...
Ila nachowapendea ni zile sherehe za December..aki ya nani nazitamani Sana,i wish siku moja nihudhurie kula nyama choma zile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseeeMoyo wangu mbona nimekupa unataka moyo gani tena wewe wako hujanipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila za huko kwenu zitakuwa na ukweli bwana [emoji2960]Saaa ukisema unaskia tu na roho mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi nikisema nayoyaskia kuhusu mbeya e.g. Wanyakyusa wanavoingiliana wao kwa wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni stori tu za wazee au na weww unawaskiliza?
Mioyo yetu itiane jaman si itapasuka puuuuππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aiseee
Basi niseme hivi;
Tutiane mioyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Had been my girlfriend from2001 .. Of which she is my wife by now .ndoa takakatifu katoliki 2015, jan 10th ... I did her so wrongs ..yet never cheat on me(i believe so namjua) .. I brought two lil girls .. She accepted them and still under my roof ... By then ... I never did her wrong ..... I knew she my my queen .. My savior ... My repentLeo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako.
Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahiri zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi.
Bado nawaza aise.
Nilicho jifunza wanaume wengi hatukutani na wanaotupenda kwasababu hatujichanganyi katika mazingira yenye hao wanaotupenda.
Ni hayo tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mioyo yetu itiane jaman si itapasuka puuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa amini unavyo amini kile unachosikia ndo kimejaza moyo wako, lakini umeishi na watu wangapi kutoka kaskazini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila za huko kwenu zitakuwa na ukweli bwana [emoji2960]
Huku sisi ni majeshi ya Kristo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi kuambia nina vituko sana ππππutakuq umesahau.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Leo umevuta cha Arusha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kama mwehu
Binafsi siamini hivyo.Sawa amini unavyo amini kile unachosikia ndo kimejaza moyo wako, lakini umeishi na watu wangapi kutoka kaskazini?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Niliwahi kuambia nina vituko sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuq umesahau.