Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

Hahahahah unajua lazma upate mfano hai wa upendo. Sasa we utajuaje upendo bila mafunzo kwa vitendo[emoji16]
A wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo mifano hai ni kinyume na taratibu zetu born again Christians
 
kweli kbsa mkuu..
Mimi hii ni true story ya Maisha yangu.mwenyez mungu ampe Maisha marefu na baraka zote demu wangu dah..
Ananipenda t bila sbbu na sent tano yangu haniombi na mshahara wake sometimes nakula mie ad unaisha..
Mwanamke akipenda anapenda kweli wakuu..
 
Yuko nliempenda,ss cjui kaniona boya,kanitamkia mwenyew kuwa kanicheat,baada ya kuona nmeamua mpotezea kabadili gear angan ns kumtumia rafik yake kwa kuja na utetez kwamba hajacheat ila alikuwa ananipma tu,c yy wala demu, wote nliwatukana tena matus yaliyojificha ndani ya nguo....kiujumla wanawake hawajui wanataka nn
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…