Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Au wana kuwaga na mapepo nini ? maana mwanamke akiwa mzuri kupita kiasi hadi mapepo huwa yanawapenda ( Gen 6:1–4 )

Kama una mwanamke mzuri kupita kiasi usizae nae mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa/mahusiano kwa sababu uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke mzuri huwa ana settle na mwanaume baada ya miaka mitano au kama ni chini ya miaka mitano basi huwa ana settle na mwanaume wake namba tano au ndoa namba 3 ( huyu ni mwanamke mzuri ambae sio malaya wa kujiuza waziwazi ) Maana yake ni kwamba kama upo katika mahusiano au ndoa na mwanamke mzuri kupita kiasi basi jua kwamba ndani ya moyo wake bado haja settle na wewe. Yani bado ana ndoto za kuja kusettle na mwanaume mwingine ambae sio wewe.

( So kama upo tayari watoto wake walelewe na bibi yao au Uncle basi zaa na huyo dada mzuri sana )

Mwanamke mzuri huwa anamringia hadi mume wake wa ndoa

Mume wa ndoa mbona cha mtoto,Mwanamke mzuri kupita kiasi huwa anamringia hadi baba ake mzazi. Hutaka wanaume wote wa mtreat kama celebrity na yeye awatreat kama fans.

BABA MZAZI : Hallow binti yangu Barbra upo wapi sasa hivi ?

BARBRA : Siku zote wanakuwaga Sinza, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni au Tabata.. ( Nipo Kijitonyama Dad )

BABA MZAZI : Okay sasa naomba uende Posta kuna documents zangu zimetumwa kutoka nje/mkoani, utamkuta mtu pale atakupatia kisha uzilete nyumbani kwangu (Msasani.)

BARBRA : Oooh Dad sory siwezi kwenda huko sijisikii vizuri halafu sina nauli na gari yangu haina mafuta.

BABA MZAZI :Hizo documents ni muhimu sana na lazima nizipate leo mwanangu naomba ujitahidi uende leo.

BARBRA : Kama ntapata hela ya mafuta nitaenda.

BABA MZAZI : ALRIGHT BABRA how much are u talking about ?

BARBRA: Kama 50 k hivi Dad.

BABA MZAZI : Okay nakutumia now.

BABRBA : Uweke na ya kutolea Dad..


Yani jinsi anavyp mtreat baba ake ana mtreat kama vile anavyo mtreat mwanaume mwingine ( danga )

Kama ambavyo hawezi kwenda kwa danga lake bila kutumiwa nauli, vivyo hivyo anaona hawezi kwenda posta kuchukua documents kisha ampelekee baba ake bila kwanza baba ake kumlipa pesa..

Mwanaume pekee asiye ringiwa na mwanamke mzuri sana ni Mganga wa Tunguri/li
 
Screenshot_20220422-155547.jpg
 
Hao ni mboga saba mtoto wa kwetu kukavu tia mchuzi hawezi kujibu hivyo.
Tatizo wakisha kuwa wakubwa wanakutana na watu wanawabadilisha. Unajua wanawake wengi hawanaga tabia ( they are characterless ), tabia zake zitategemea yupo wapi na watu gani wenye tabia gani.. ukiishi nae kinondoni anakuwa malaya mkihamia Kimara anakuwa na duka la viatu
 
Kuwa na Sura nzuri ni Mlango katika ulimwengu wa Roho...

Ukisoma Biblia Utagundua kuwa Mungu alitumia wanawake tofauti tofauti wenye sura nzuri kwa ajili ya kutimiza matakwa yake Duniani

Mfano:-
Sara (mke wa Ibrahimu...

Abigaili (mkewe nabali, kisha mfalme daudi)

Malkia Esta (mke wa mfalme ahasuero?)

Raheli (mke wa yakobo)

Na shetani naye alitumia baadhi ya wanawake warembo kutimiza mipango yake Duniani
Mfano

Jezebel (mke wa mfalme ahabu)

Delila (moenzi wa Samson)

Mke wa Potifa naye shetani alitaka kumtumia kama mtego kumnasa Yusufu..bahati yusufu aliponyoka japokuwa aliishia jela miaka miwili

Nk

Kwa hiyo kuwa na sura nzuri huo ni mlango katika ulimwengu wa Roho...na kama ni mlango basi unapaswa kulindwa...

Uzuri hasa kwa mwanamke unaweza kuwa mtego hatari sana na wa kuua
 
Kuwa na Sura nzuri ni Mlango katika ulimwengu wa Roho...

Ukisoma Biblia Utagundua kuwa Mungu alitumia wanawake tofauti tofauti wenye sura nzuri kwa ajili ya kutimiza matakwa yake Duniani

Mfano:-
Sara (mke wa Ibrahimu...

Abigaili (mkewe nabali, kisha mfalme daudi)

Malkia Esta (mke wa mfalme ahasuero?)

Raheli (mke wa yakobo)

Na shetani naye alitumia baadhi ya wanawake warembo kutimiza mipango yake Duniani
Mfano

Jezebel (mke wa mfalme ahabu)

Delila (moenzi wa Samson)

Mke wa Potifa naye shetani alitaka kumtumia kama mtego kumnasa Yusufu..bahati yusufu aliponyoka japokuwa aliishia jela miaka miwili

Nk

Kwa hiyo kuwa na sura nzuri huo ni mlango katika ulimwengu wa Roho...na kama ni mlango basi unapaswa kulindwa...

Uzuri hasa kwa mwanamke unaweza kuwa mtego hatari sana na wa kuua
( kwa sauti ya kichungaji ) Nimejifunza kitu kikubwa sana mahali hapa jioni ya leo
 
Sio wao ila ni zile roho zinazovaa zinapenda wanawake wazuri. Hata shetani upenda wanawake wazuri Ili awatumie kama agent kuwaangusha wengi ikiwemo wanawake wenyewe
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom