Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

Mademu wazuri nilikuwa nawakomesha enzi hzo npo chuo,nimesoma vyuo tofauti tofauti kama vitatu.

Demu mzuri anahisi kwenye dunia hii kila mwanaume ana mnyenyekea,maana unakuta chuo kizima kinamnyenyekea kuanzia malecture,wanachuo mpaka wafantakazi wa chuo.

Sasa nilichokuwa nawafanya hawa warembo ikitokea akawa na shida na mimi akija kimideko au kwa style yoyote ya kutumia uzuri wake lazima nimzingue,nilikuwa nawakatalia hitaji lao wanalotaka na nina msaidia demu wa kawaida.
Hata salamu nilikuwa siwapi ila demu wa kawaida ndo namsalimia

Hii tabia yangu ya kuwapotezea ilikuwa inawafanya wajigonge wenyewe kwangu
 
Tena mganga ula mwanamke yeyeto amtakae, maana vyoote vya madhabauni mwake ni halali yake
Ila Ke wana ujasiri wa kijinga sana kupita maelezo.

Sasa mfano huyu hapa kitu gani ataombwa na mganga wa kienyeji akataliwe [emoji848][emoji6]
JamiiForums-1844625321.jpg
JamiiForums233507543.jpg
 
Huu Uzi tumeuelewa wachache Sana ambao tunajitambua ndiyo maana hawa warembo ni ngumu Sana kuolewa...
Nina mifano zaidi ya wadada kama sita hivi wameishia kuolewa na wajinga Tu na hiyo ni baada ya maji ya jioni(uzee) kuanza kuingia
Hata wale vicheche huwa wanaoa Ke wa kawaida sana kimwonekano wa mvuto wa sura na umbile ila vimada wao sasa....[emoji1787]
 
Mademu wazuri nilikuwa nawakomesha enzi hzo npo chuo,nimesoma vyuo tofauti tofauti kama vitatu.

Demu mzuri anahisi kwenye dunia hii kila mwanaume ana mnyenyekea,maana unakuta chuo kizima kinamnyenyekea kuanzia malecture,wanachuo mpaka wafantakazi wa chuo.

Sasa nilichokuwa nawafanya hawa warembo ikitokea akawa na shida na mimi akija kimideko au kwa style yoyote ya kutumia uzuri wake lazima nimzingue,nilikuwa nawakatalia hitaji lao wanalotaka na nina msaidia demu wa kawaida.
Hata salamu nilikuwa siwapi ila demu wa kawaida ndo namsalimia

Hii tabia yangu ya kuwapotezea ilikuwa inawafanya wajigonge wenyewe kwangu
Ndiyo mbinu nzuri sana tuliyokuwa tunatumia wahenga kula ma-sister duu kwa kutoweweseka nao zaidi ya kuwachukulia wa kawaida saaaana, ingawa lazima utumie mpira maana;

Ke mzuri sana bila akili sehemu zake za siri huteseka sana [emoji13]
 
Ila Ke wana ujasiri wa kijinga sana kupita maelezo.

Sasa mfano huyu hapa kitu gani ataombwa na mganga wa kienyeji akataliwe [emoji848][emoji6]View attachment 2196682View attachment 2196683
Akatai si atakwambia afundishe kwa vitendo jinsi ya kuibana au kukatika Ili dawa iingie vizuri Ili amteke mume wa mtu vizuri.Ukosefu wa maarifa kwa wanawake upelekea kuwa wahanga wa waganga mitume na manabii feki.
Kuna yule Mtume na nabii feki wa Ghana aliwaogesha uchi kanisani kwake.
Hakika ukiwa empty kichwani ni lazima ufanywe mteja.
 
Kuwa na Sura nzuri ni Mlango katika ulimwengu wa Roho...

Ukisoma Biblia Utagundua kuwa Mungu alitumia wanawake tofauti tofauti wenye sura nzuri kwa ajili ya kutimiza matakwa yake Duniani

Mfano:-
Sara (mke wa Ibrahimu...

Abigaili (mkewe nabali, kisha mfalme daudi)

Malkia Esta (mke wa mfalme ahasuero?)

Raheli (mke wa yakobo)

Na shetani naye alitumia baadhi ya wanawake warembo kutimiza mipango yake Duniani
Mfano

Jezebel (mke wa mfalme ahabu)

Delila (moenzi wa Samson)

Mke wa Potifa naye shetani alitaka kumtumia kama mtego kumnasa Yusufu..bahati yusufu aliponyoka japokuwa aliishia jela miaka miwili

Nk

Kwa hiyo kuwa na sura nzuri huo ni mlango katika ulimwengu wa Roho...na kama ni mlango basi unapaswa kulindwa...

Uzuri hasa kwa mwanamke unaweza kuwa mtego hatari sana na wa kuua
lwani mumgu hawezi kufanya kitu bila kutegemea kitu
 
Back
Top Bottom