LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #61
Ur the true son of ur fatherKuna mdada mzuri sana nilidate naye kwa muda mrefu . Ilikuwa fahari kila tunapoongozana. Ajabu nikaja kumuacha nikaoa mwingine wa kawaida kabisa. Jamaa zangu hawakuamini, majirani pia, siku moja mzee mtu mzima jirani akaniita akanihoji imekuwaje kijana?
Ni lazima tujue kutofautisha kati ya mpenzi na mke.
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app