Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

Kuna mdada mzuri sana nilidate naye kwa muda mrefu . Ilikuwa fahari kila tunapoongozana. Ajabu nikaja kumuacha nikaoa mwingine wa kawaida kabisa. Jamaa zangu hawakuamini, majirani pia, siku moja mzee mtu mzima jirani akaniita akanihoji imekuwaje kijana?
Ni lazima tujue kutofautisha kati ya mpenzi na mke.

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Wapi ushahidi wenye utafiti? Je mwanamke mzuri ni yupi? Uzuri ni nini na vigezo gani umetumia? Je umechunguza wangapi na kupata mawazo ya wangapi? Nini vigezo vya hitimisho lako linaloonekana kuwa uganga wa kienyeji na ushirikina mbali na chuki binafsi? Je umetumia variables ngapi na toka wapi na lini? Je umesomea utafiti na kutumia nyenzo za utafiti?
 
Ukisoma kitabu cha "Esta" kwenhe biblia itaelewa maana ya huu uzi
 
Hizi ni kasumba za dini tu....mbona mie mke wangu ni mzuri kuliko demu ama avatar yeyote ya demu wa hapa JF na nimezaa naye mwaka tu baada kumuoa na sasa tuna watoto 4. Nafikiri ujinga huu unatokana na hulka tu ya mtu na mtu.
 
Ni kwel kabxa...nnapoish kuna jamaa alikuwa anaish na dem wake mkali kimouma...hadi wamba tukaanza kummezea mate....ila jamaa alimzalisha haraka haraka akifikir dem atatulia...cha ajabu waliachana kwa fedhea sanaa...jamaa alikuwa muislam saf ila akaamza kubwiya pombe...hii ni baada ya kuitwa kibamia mbele ya mass ....isitoshe mama mkwe ndo amekuja kujichukulia vitu ndani....walimwacha na sufuria mbili na kitanda kisicho na godoro......kauli ya mwsho nliiskia kwa demu ni kuwa mimi ni mzuri...huna hadhi ya kuish na mimi na nitaolewa tena
 
Ninachoshangaa atamringiaje baba yake wakati hiyo sura inatoka kwa baba yake.
 
Uzuri ni ubatili, bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.

Maneno ya Biblia takatifu
 
🤣🤣🤣
 
Ninachoshangaa atamringiaje baba yake wakati hiyo sura inatoka kwa baba yake.
ni upumbavu mtupu mimi nina kibinti changu (15yrs) kipo form 3 wanakisifia wenzake kipo hot na kimekuwa maarufu shule nzima kwa uzuri but kina nivimbia hadi mimi eti. Kinataka kunitreat kama fan na mimi nikitreat kama celebrity. Basi mi nabaki kukiangalia tu
 
dah aisee ndio maana baba zetu zamani walikuwaga hawaoa wanawake wazuri sana. Yani mwanamke mzuri hata akiwa kwenye ndoa bado anakuwaga na dream ya kuolewa tena ndoa nyingine bora zaidi.. wewe unaona umeoa kumbe mwenzako bado ana dream ya kuolewa tena
 
Hizi ni kasumba za dini tu....mbona mie mke wangu ni mzuri kuliko demu ama avatar yeyote ya demu wa hapa JF na nimezaa naye mwaka tu baada kumuoa na sasa tuna watoto 4. Nafikiri ujinga huu unatokana na hulka tu ya mtu na mtu.

Mshukuru Mungu
 
dah inaonekana wewe ni muumini wa filosofi feki ya " The beautiful woman is in the eyes of a BEHOLDER" ni hivi mtu aliemsikia jamaa alie toa sentensi hiyo kwa mara ya kwanza hakumsikia vizuri, jamaa alimaanisha " THE BEAUTY OF A WOMAN IS IN THE EYES OF A BEER HOLDER"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…