Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

Ur the true son of ur father
 
Utakuta walikuwa hawatambui hata uwepo wako, ukawa unaishia kujikasirisha mwenyewe tu
 
Ulipoteza sana hii dunia tumekuja kuenjoy unatakiwa uoe kitu kizuri mambo ya kuoa mapoligon sio kabisa!
labda kama hujiamini
 
Oya mzee nipe basi huyo pisi kali mie hao ndio nataka kuoa
 
Na mchungaji wake pia hawezi kumringia.
 
Hii ya tabia kulingana na mahali alipo ,upo sahihi kabisa
Nilienda mishe mgodi flan nikajibiwa nyodo na mwanamke fulani wa hovyo hovyo tu , ambae naamini kwa mjini asingeweza kupata hata salamu yangu,
Kuna vitabia wanakuwanavyo kutokana tu na population yao eneo husika .
 
Uzuri unatokana na macho ya mtazamaji, kila mtu anaona uzuri kivyake. Mwanamke anaejiona mzuri, HAYUKO SAWA KICHWANI. Mwanamke wa kawaida ,hajioni mzuri, anatamani kuwa vingine, ndio mana tunahangaika kila siku. Nywele feki, kope, kujichubua, push up bhs, mkanda kubana tumbo, viatu virefu kuongeza urefu nk.
 
Akiwa mzuri akili huwa likizo, wachache wenye akili
 
Haya ni malezi hayaendani na uzuri wa binti kwa πŸ’― percent
 
Mtu unatumia KILA kitu feki akili zitoke wapi sasa.
 
Nilimpenda sana ila alivyo anza kuleta story kuwa wananifata wengi nika kaa macho.

Nilimnunulia na zawadi nikawa namjibu vizuri tu hata aliponitukana nilimjibu vyema mana nmezaliwa kinondoni bwawani huko hakuna tusi nisilo jua huwa natunza mdomo wangu ili moyo wa mtu usichafuke.

Before breakup nilitumiwa txt na best yake wa karbu kuwa anasema mnaendana sana kuwa couple sikutilia maanani sana.

Dharau zilizidi na mdomo mchafu nikaja kujua hakuna kitu kinauma kwenye mapenz kama mwanaume afanyie kiburi na dharau,

Nikarudi kwa best angu mpenda dini akanipa mstari wa kusoma nao ni MITHALI 15:4

Ukiwa polite kwenye maneno utatengeneza dunia yenye amani sana kuliko vurugu.
 

Baba yake atakuwa kale huo ujinga, kwanza mimi Sio Dad, Mimi ni Baba!
 
Uko sahihi πŸ’―, wanawake ukiwaelewa hawakupi shida. Ukiona mtu anajisikia ni kumpunguzia attention tu.
 
Huu Uzi tumeuelewa wachache Sana ambao tunajitambua ndiyo maana hawa warembo ni ngumu Sana kuolewa...
Nina mifano zaidi ya wadada kama sita hivi wameishia kuolewa na wajinga Tu na hiyo ni baada ya maji ya jioni(uzee) kuanza kuingia
Na ndivyo inavyokuwaga aisee, Ndege mjanja huishia kwenye chaka bovu. Huwa wanaishia kuwa single maisha yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…