Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Hii stori ni kama umei copy toka kwangu kabisa. Utofauti ni kidogo sana.
Sikia tu mtu akusimulie haya mambo yasikufike
 
nimekuelewa
 
maisha hayana formula kuwa mwanamke au mwanamme huyu anatoka kwenye familia fulani kwa hivyo yatakuwa mazuri. Kila mtu ana akili zake za kukabiliana nayo.
 
Pole sana, mke akakutenda, ndugu ole wako umsogelee tena atakuua kabisa, huyo na familia yao ni wauwaji ni wewe tu hukujua hilo
 
Eeh hiyo ndio inaotwa " when poverty enters through the door love escapes through the window" brother. Hawa wanawake nakwambia ni mama zetu na dada zetu ila ni mashetani kabisaaaa.
They are soo selfish. Yaani ni wakugegeda tuu na kutupa kule usijaribu kabisa kuwakumbatia utaumia sana. Mwenzio niliambuliwa kuambiwa "huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni"
Ila sasa bwana ukweli usemwe tuu....mbususu zao tamuuuuuu hizooooo.
 
WaNawake ndio zenu hizo, you always think grasses greener on the other side. Hizo vurugu zote alishapata kabwana kengine ambako kana muhonga hela ilihali mumewe hana ata senti 10.

Ndio maana mwanamke mwenye tabia ya njaa simpendagi. Hata awe na hela hio tabia ako nayo tu. Salama ni kutembea na mwanamke mwenye independent lifestyle huyo ndio akikupenda anakuwa real sio tapeli.
 
Acha kujidanganya mkuu
 
Hahahahahah kiburi cha hela. Sahizi wewe tafta wanawake wenye hela kumzidi yeye mbugila huyo.🤣
 
Kabla ya kukutana na yule mwanamke oa mke mwingine ili asije akapata nafasi ya kurudi kwa sababu ya tamaa zake, maana anaweza akalia kwa matokeo yako ya maisha mapya akajifanya kujuta na kumbe ni nyoka mwenye sumu Kali, tafuta mke ndo ufate mtoto wako
 
Yeye ana mbele na nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…