mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
[emoji3][emoji3]Mbona mi nikikuelewa mda sana lakini niliambulia patupu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Mbona mi nikikuelewa mda sana lakini niliambulia patupu?
Very, very serious cariha.Like serious or ur joking!?
Kwani kaongopa!? Kinachojua kwamba huyu ni kaka au dada ni AKILI tu...!!! Ukiiondoa vinavyobaki vyote ukiwemo migegedeo inasongesha kama kawa tu,Ha haaa we Espy njoo mchukue mtu wako huku
Haya bana ka uko seriousVery, very serious cariha.
Ukaka na udada na uendelee[emoji4]Kwani kaongopa!? Kinachojua kwamba huyu ni kaka au dada ni AKILI tu...!!! Ukiiondoa vinavyobaki vyote ukiwemo migegedeo inasongesha kama kawa tu,
Mbona kama nimemjua?Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.
Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.
Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.
Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.
Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.
Agh wapi..!! Mwisho ChalinzeUkaka na udada na uendelee[emoji4]
Kwamba Zaid ya kyakuchi Hana Cha kutoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke hana cha ku offer zaidi ya papuchi
Sisi tutaaminije ....Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Acha longolongo.Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Ila Mungu fundi atiangekuwa dizain kama huyu sidhan hata huo muda wa kuandika thread ungeupata. natania ila ndo uhalisia kwa wanaume View attachment 1850667
sasa mbona anakuvuta miguu??Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.
Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.
Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.
Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.
Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.
Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.
Tatizo umenifungia nje, nashindwa kuingia ndaniHaya bana ka uko serious
Ngoja nifungue uje na jambo lenye mashikoTatizo umenifungia nje, nashindwa kuingia ndani
Si kweli labda agreement ilikuwa ngono ilikusaidiwaAcha longolongo.
Wanawake wengi wanaposaidiwa, huishia kutoa papuchi.
Nmeshayaona hayo kwa wanawake tofauti tofauti.
[emoji28][emoji28][emoji28]Bwahahahaa... Lazima nirudishe fadhila, ee mungu nisaidie.