Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

Yule wa BOT ana mwenyewe anamchunga kaa mbuzi.

Juzi nimemtafuta nimpe pole kwenye msiba hata simuoni, halafu sosho media zote hayupo kama bado analindwa na usalama wa taifa.
Sema soon anaweza akawa free huyo kaka
 
Nyie nanyi mkishaumizwa mnakujaga na conclusion za ajabu ajabu!😏

Embu tuliza akili kidogo kwanza.
 
Huu uzi unatugawa makundi makundi hivyo usitake kuaminisha watu wa kundi BA haliyakuwa ww ni kundi A...kundi A ni wale ambao kwa kipindi hiki wapo kileleni na kundi BA wapo kwenye sintofahamu zote ni hali ambazo kila mmoja anasema anachopitia so ww kama unateseka mkuu just relax time ya kulicover itaisha na utakula maisha na wale wanao pitia Bata wale kweli kweli cos siku zao zipo njiani tumuombe mungu atuepushe na pepo mbaya maana ni balaaa.
 
Ukitaka uwajue hawa viumbe vizuri, uzoefu ni muhimu; kama utakuwa na umri kuanzia 45+ utaunga mkono hoja.
Ndo naingia holy trinity third floor mwezi huu mkuu ila nna miaka 6 chamani nalisongesha sio mgeni saana. Pia ni Old soul (50+ years If u know waramean).

Aisee unakuaga mchangamfu na mtundu sana nkajua uko labda mid 30s mkuu but age is just some digit, maximum respect!
 
We kwa hali uliyonayo sasa hivi hamna utakachoelewa zaidi ya hicho ulichoamua kuamini. Kunywa maji yakutosha, kama una nguvu ya kula basi kula kidogo alafu ulie mpaka usingizi ukuchukue.

Kesho, kesho kutwa hivi ndio turudi kwenye huu mjadala.
Nimecheka had mbavu zinaumaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…