Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
aliyemkojolesha wa kwanza ndio aliyempa mimba.Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea?
Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
Kwani mimba inatungwa immediately? Mimba inaweza kuchukua hadi siku mbili kutungwa toka tendo lifanyile. Kwa hiyo ukiambiwa hapa umenipa mimba mara baada ya tendo unadanganywa.Si mnasemaga eti bao la Mimba ndiyo linakuwaga tamu sana hadi mnapitiwa na kausingizi kidogo hata ka nusu saa hivi!!??
Ha ha ha,kwan nimefanyaje
Hawezi kumjua aliempa mimba, atafahamu endapo mtoto akizaliwa atafanana na yupi kati ya hao wanaume. Au njia yenye uhakika ni kufanya DNA test.
Kama katika siku zake za hatari Ali sex na watu tofauti, I mean sio siku moja...lets say siku za hatari nne,na aka sex na wanaume wanne@day...je still hatojua?Hawezi kumjua aliempa mimba, atafahamu endapo mtoto akizaliwa atafanana na yupi kati ya hao wanaume. Au njia yenye uhakika ni kufanya DNA test.
Upige hesabu gani sasa na wakati kama sio huku duniani au uko wakosema kuzimu una mtoto tayarIssue Iko hivi, ikiwa kama kwenye zile siku za hatari alisex nanyi wote. Hapo hatokuwa na ujanja zaidi ya kumbambikia mmoja..inakuwa rahisi kama zile siku alisex na fulani ,hapo ndio atajua.
Cha msingi wanaume kuweni makini na siku za michepuko. Akikuambia anayo ukae chini upige hesabu.
Hatojua. Huwezi kujua siku yenyewe kabisa. Kumbuka mbengu za mwanaume hukaa masaa 72 kwenye tumbo la uzazi la mwanamke,ndo zinakufa. Sasa ukiovulate let say leo na ukasex na mwingine,kumbuka mbengu za yule uliyesex nae jana pia bado active. Sasa haijulikani sperm ya yupi ndo itaungana na ovum.Kama katika siku zake za hatari Ali sex na watu tofauti, I mean sio siku moja...lets say siku za hatari nne,na aka sex na wanaume wanne@day...je still hatojua?
Mmh,aisee Mungu atupe maono sahihi.Hatojua. Huwezi kujua siku yenyewe kabisa. Kumbuka mbengu za mwanaume hukaa masaa 72 kwenye tumbo la uzazi la mwanamke,ndo zinakufa. Sasa ukiovulate let say leo na ukasex na mwingine,kumbuka mbengu za yule uliyesex nae jana pia bado active. Sasa haijulikani sperm ya yupi ndo itaungana na ovum.
Shikamoo Dada. Umejibu Kitaalam mno. Heko ( Kongole ) Kwako.Kama ilikuwa ni siku ya hatari wa kwanza kummwagia sikuhiyo ndo Mwenye mtoto
Mchagua Maku siyo Jimbatom sawa?Kwaiyo mtu akitoka kupiga hapo ukaletewa na ukajua utakula hivyohivyo??!!
Unauliza Sebene kwa Wakongo Mkuu?Kwani unahofu umeshangazwa kingi nini
Kama 'Babaako' Mzazi.Fake.
Mtoa mada ni ke
Kama hii ni kweli basi huenda GENTAMYCINE nikawa na Watoto sawa na Wachezaji Wote wa NBC Premier League kwani 99% ya Wanawake / Mademu ninaowakaza ( waweka ) husifia mno Mabao yangu huku Wengi wakisema wanatamani kupata Mbegu yangu ( Mtoto nami ) kwa sababu Wazijuazo Wao.Ukianza kumuelewa mwanamke, ujue umri wako wa kufa unakaribia. Kuna mmoja aliwahi niambia kuwa wanasikilizia utamu wa bao. Bao likiwa tamu zaidi, anajua kitu imo