Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

Mwanamke anamjua vipi aliyempa mimba ikiwa alitembea na wanaume watatu kwa wakati mmoja?

Kumbe mwanamke anaweza kutupanga mimi, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume kwa siku moja (kama ya leo Ijumaa) na wote 'tukamkaza" kwa ratiba aliyotuwekea kutokana na uhuni wetu, ila yule atakayempa mimba (kibendi) kati yetu atamjua tu na hatokosea?

Ninaombeni elimu juu ya hili wadau.
aliyemkojolesha wa kwanza ndio aliyempa mimba.
 
Si mnasemaga eti bao la Mimba ndiyo linakuwaga tamu sana hadi mnapitiwa na kausingizi kidogo hata ka nusu saa hivi!!??
Kwani mimba inatungwa immediately? Mimba inaweza kuchukua hadi siku mbili kutungwa toka tendo lifanyile. Kwa hiyo ukiambiwa hapa umenipa mimba mara baada ya tendo unadanganywa.
 
Na uzuri wakishagundua u makini hawawezi kukubambikia ..kwako we unayegonga tu Bila hesabu...kuna mmoja nilikuta kwenye simu yake ana watu watatu wote anawaambia ana mimba yao na anataka kuitoa..wawili walituma Hela mmoja akampeleka hospital...Mimi hakunieleza cause sijawahi piga bila mpira hata kwa bahati mbaya....Mwingine alijifanya kuniambia hizo habari nikamweleza wazi ,,sijawahi kukukojolea ndani hata siku moja ...sio yAngu...baada ya week akakiri kwamba sio yangu
 
Hawezi kumjua aliempa mimba, atafahamu endapo mtoto akizaliwa atafanana na yupi kati ya hao wanaume. Au njia yenye uhakika ni kufanya DNA test.

Hawezi kumjua aliempa mimba, atafahamu endapo mtoto akizaliwa atafanana na yupi kati ya hao wanaume. Au njia yenye uhakika ni kufanya DNA test.
Kama katika siku zake za hatari Ali sex na watu tofauti, I mean sio siku moja...lets say siku za hatari nne,na aka sex na wanaume wanne@day...je still hatojua?
 
Issue Iko hivi, ikiwa kama kwenye zile siku za hatari alisex nanyi wote. Hapo hatokuwa na ujanja zaidi ya kumbambikia mmoja..inakuwa rahisi kama zile siku alisex na fulani ,hapo ndio atajua.

Cha msingi wanaume kuweni makini na siku za michepuko. Akikuambia anayo ukae chini upige hesabu.
Upige hesabu gani sasa na wakati kama sio huku duniani au uko wakosema kuzimu una mtoto tayar
 
Kama katika siku zake za hatari Ali sex na watu tofauti, I mean sio siku moja...lets say siku za hatari nne,na aka sex na wanaume wanne@day...je still hatojua?
Hatojua. Huwezi kujua siku yenyewe kabisa. Kumbuka mbengu za mwanaume hukaa masaa 72 kwenye tumbo la uzazi la mwanamke,ndo zinakufa. Sasa ukiovulate let say leo na ukasex na mwingine,kumbuka mbengu za yule uliyesex nae jana pia bado active. Sasa haijulikani sperm ya yupi ndo itaungana na ovum.
 
Mmh,aisee Mungu atupe maono sahihi.

Asante.
 
Ukianza kumuelewa mwanamke, ujue umri wako wa kufa unakaribia. Kuna mmoja aliwahi niambia kuwa wanasikilizia utamu wa bao. Bao likiwa tamu zaidi, anajua kitu imo
 
Ukianza kumuelewa mwanamke, ujue umri wako wa kufa unakaribia. Kuna mmoja aliwahi niambia kuwa wanasikilizia utamu wa bao. Bao likiwa tamu zaidi, anajua kitu imo
Kama hii ni kweli basi huenda GENTAMYCINE nikawa na Watoto sawa na Wachezaji Wote wa NBC Premier League kwani 99% ya Wanawake / Mademu ninaowakaza ( waweka ) husifia mno Mabao yangu huku Wengi wakisema wanatamani kupata Mbegu yangu ( Mtoto nami ) kwa sababu Wazijuazo Wao.
 
Back
Top Bottom