Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume unyumba kwasababu ya huruma kwa Mwanaume huyo lakini anaweza akawa hapati ladha wala msisimko wowote upande wake wakati wa tendo na asilalamike
Sababu hii ndiyo inawezakumfanya Mwanamke akafanya biashara ya ngono lakini hitaji lake ni fedha wala sio mikito ya Wanaume wakati wa tendo jambo ambalo ni tofauti kwa Wanaume yaani kwamba wangekuwepo Wanaume wanaofanya biashara ya kuuza miili basi wao ndio wangekuwa wakipata msisimko kuliko Wanawake wanaowahitaji
Hii ndiyo sababu kubwa inayowezakumfanya asishawishike kwa kutongozwa lakini akashawishika kwa fedha au mali
Mwanamke ana uwezo wa kuishi hata zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi/yaani kuch kuch hotae au koinange baada ya kubalehe
Mifano mingi ipo kwa wajane
Wapo wajane wenye zaidi ya miaka 60 ambao walipoteza Waume zao zaidi ya miaka 20 iliyopita na baada ya hapo hawakuwahi tena kushiriki mapenzi yaani hawajawahi ku kuch kuch hotae
Mwanamke hashawishiki kwa uchi wa Mwanaume kama ilivyo kwa Mwanaume ambaye anashawishika na uchi wa Mwanamke na anaweza hata kuuza nchi kwa lengo la kumpata Mwanamke