Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

Mafanikio ni siri kwenye hili wanawake wameliweza wanaume tutakuja na nadharia kibao wao wamebaki na siri zao hapo nani mjanja?
 
Hivi kikao chenu cha tarehe 4 hamkuongelea kabisa mambo mengine nje ya mwanamke this mwanamke that?🤔
Tofautisha kijana wa kiume na mwanaume😀
BTW kile hakikuwa kikao cha wanaume bali kundi la vibaka na wapigaji..
Vikao vya wanaume halisi havinaga matangazo wala havihitaji kupigiwa chepuo mitandaoni na kwenye mabango ya biashara 😀
 
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi

Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume unyumba kwasababu ya huruma kwa Mwanaume huyo lakini anaweza akawa hapati ladha wala msisimko wowote upande wake wakati wa tendo na asilalamike

Sababu hii ndiyo inawezakumfanya Mwanamke akafanya biashara ya ngono lakini hitaji lake ni fedha wala sio mikito ya Wanaume wakati wa tendo jambo ambalo ni tofauti kwa Wanaume yaani kwamba wangekuwepo Wanaume wanaofanya biashara ya kuuza miili basi wao ndio wangekuwa wakipata msisimko kuliko Wanawake wanaowahitaji

Hii ndiyo sababu kubwa inayowezakumfanya asishawishike kwa kutongozwa lakini akashawishika kwa fedha au mali

Mwanamke ana uwezo wa kuishi hata zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi/yaani kuch kuch hotae au koinange baada ya kubalehe

Mifano mingi ipo kwa wajane
Wapo wajane wenye zaidi ya miaka 60 ambao walipoteza Waume zao zaidi ya miaka 20 iliyopita na baada ya hapo hawakuwahi tena kushiriki mapenzi yaani hawajawahi ku kuch kuch hotae

Mwanamke hashawishiki kwa uchi wa Mwanaume kama ilivyo kwa Mwanaume ambaye anashawishika na uchi wa Mwanamke na anaweza hata kuuza nchi kwa lengo la kumpata Mwanamke
Kabisa,,,,
Ndio maana ukipata mjane inakuwa kama mpya kabisa,,au tuseme mpyaaa..na hata harufu inakuwa healthy ile yenye ulimbo,,,
SHehee
Mwanamke mwenye afya lazima apate nyegeee....asikudanganye ntu.
 
Tofautisha kijana wa kiume na mwanaume😀
BTW kile hakikuwa kikao cha wanaume bali kundi la vibaka na wapigaji..
Vikao vya wanaume halisi havinaga matangazo wala havihitaji kupigiwa chepuo mitandaoni na kwenye mabango ya biashara 😀
Aisee muwe mnawashauri wadogo zenu wanaibuka na nadharia kichaa daily humu! Vitu haviexist kabisa!
 
Labda awe amekeketwa, Wanawake hawa hawa wanao data kwenye shule za bweni za wasichana.

Mkuu, Nyege za wanawake ni mbaya kuliko za wanaume, wanaweza hata kukubaka ukijilegeza
Hata aliye keketwa nae kuna kipindi anakua anahitaji kuna mgogo mmoja alikua amekatwa alikua anatoka dom to dar kwa nauli yake kufata chuma cha msukuma 😀😀😀
 
Tatizo wanaume tumekua wavivu kwenye kuwapelekea moto wanawake ndo maana wanakua hawana hamu na wanaume .. Ila wanawake hisia wanazo na hamu ya tendo nao hua na upwiru na ogopa kukutana na dem anakuelewa harafu anajua kabisa ww ndo hua unamkuna kisawasawa ebwana unaweza kojoa mpaka povu. Na ukiona mwanamke unampelekea moto hana hisia na ww jua ww huna maajabu ama hua humjuliii vizuri ktk kumfikisha kileleni.
🤣🤣🤣

Ya kweli haya kijana??
Au we bado mdogo
Mjep
 
Back
Top Bottom