G
guest-1790917349
Guest
🏃🏃🏃😎😎🤣Mimi bado nakua mama mchungaji
Haya ni ya wakubwa
Sawa gen Z
🏃🏃🏃😎😎🤣Mimi bado nakua mama mchungaji
Haya ni ya wakubwa
Gen z wa mchongo😁🏃🏃🏃😎😎🤣
Sawa gen Z
Sijui lakini naona ni uongo tu😅😅😅😅Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume unyumba kwasababu ya huruma kwa Mwanaume huyo lakini anaweza akawa hapati ladha wala msisimko wowote upande wake wakati wa tendo na asilalamike
Sababu hii ndiyo inawezakumfanya Mwanamke akafanya biashara ya ngono lakini hitaji lake ni fedha wala sio mikito ya Wanaume wakati wa tendo jambo ambalo ni tofauti kwa Wanaume yaani kwamba wangekuwepo Wanaume wanaofanya biashara ya kuuza miili basi wao ndio wangekuwa wakipata msisimko kuliko Wanawake wanaowahitaji
Hii ndiyo sababu kubwa inayowezakumfanya asishawishike kwa kutongozwa lakini akashawishika kwa fedha au mali
Mwanamke ana uwezo wa kuishi hata zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi/yaani kuch kuch hotae au koinange baada ya kubalehe
Mifano mingi ipo kwa wajane
Wapo wajane wenye zaidi ya miaka 60 ambao walipoteza Waume zao zaidi ya miaka 20 iliyopita na baada ya hapo hawakuwahi tena kushiriki mapenzi yaani hawajawahi ku kuch kuch hotae
Mwanamke hashawishiki kwa uchi wa Mwanaume kama ilivyo kwa Mwanaume ambaye anashawishika na uchi wa Mwanamke na anaweza hata kuuza nchi kwa lengo la kumpata Mwanamke
Nani kawaambia aliekeketwa hana nyege mbona Kuna uongo uongo mwingi eenhLabda awe amekeketwa, Wanawake hawa hawa wanao data kwenye shule za bweni za wasichana.
Mkuu, Nyege za wanawake ni mbaya kuliko za wanaume, wanaweza hata kukubaka ukijilegeza
Anapigwa mechi na wanaume 40 lakini akili yake inakuwaga kwenye hayo malipo tu sio msisimkoNgoja Mzee wa elimu ya kijamii aje Robert Heriel Mtibeli
Hatuna usemi, tumewaacha muwe wasemaji wetu!Wenye uchi wao wenyewe wanasemaje