Hizo ni shobo zako, lipa deni ndio tuanze kutoana out.!!Hapana, ni namna pia ya kuangalia kama mna akili kichwani, kumbuka naweza kukutoa nje kwa gharama mara tano ya deni lako, na sio kwamba unanilazimisha nikutoe. Kwa hiyo unatakiwa kuufikirisha ubongo wako
Hujaelewa. At some point lazima nione kama una akili kichwani na nitakupa test kama hiyo, ili nijue kama tukizaa watoto wetu watafaa kurithi genes zako za kichwani au hapana. Utagundua kwamba wote mnaodai baada ya kufanyiwa kitu kikubwa zaidi au kupewa hela kubwa zaidi mnaachwa, ili mkamtafute mjinga mlie ligi mojaHizo ni shobo zako, lipa deni ndio tuanze kutoana out.!!
Tatizo makubaliano yalikuwaje??
Kwahiyo hulipi deni ili umpime mkeo akili??Hujaelewa. At some point lazima nione kama una akili kichwani na nitakupa test kama hiyo, ili nijue kama tukizaa watoto wetu watafaa kurithi genes zako za kichwani au hapana. Utagundua kwamba wote mnaodai baada ya kufaniwa kitu kikubwa zaidi au kupewa hela kubwa zaidi mnaachwa, ili mkamtafute mjinga mkie ligi moja
Mke ha testiwi wewe, tulista test huko nyuma ndio aka qualify kuwa mke. Na kwa nini mke anikope? Kama unamkopesha au kumkopa mumeo mwache!Kwahiyo hulipi deni ili umpime mkeo akili??
Kwann kulipa deni kunauma??
Kuna tatizo gani ukamlipa kisha ukaendelea na mengineyo??
Ulimbukeni tu.... hadi mwanamke anakua anamshangaa.We unamfanyia yote hayo, ye anakufanyia nini in return?
Ni dharau pia ukiwa na mwanaume anakununulia gari halafu unakumbushia 1000. Ina maana huyo mwanaume sio ligi yako. Tafuta wa kipato cha kukopeshana 1000 na kudaiana. Mwanaume anaekununulia gari na anaekuambia hebu nipe 1000 nimlipe kijana kasafisha kioo cha gari halafu unamkumbusha akurudishie ile alfu nilikupa, sio ligi yakoUnawezaje kumnunulia gari lakini unashindwa kumlipa 1000? Hiyo kwa kweli ni dharau.
Amandla...
Hiyo ID Yako hatari....🤣🤣🤣Wewe hata umpeleke Dubai Yote ni Bure na kujirisha upepo sharti Hela ilipwe
Kamdai kwakweli 🤓🤓😌. Hela ya juzi haihusiani kabisa na deni lake. Hahaaaa.Umenikumbusha nikadai deni langu la 180,000 japo juzi nilipewa 1m lakini ilikuwa ya issue nyingine haihusiani na deni langu.
Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
😀😀😀😀😀Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
😌😌🤓 kisa cha kutaka mtoto wa watu asiolewe nini? Nimecheka sana.Wewe hata umpeleke Dubai Yote ni Bure na kujirisha upepo sharti Hela ilipwe
Siku hizi wanawake wote ni madada poa tu, ukimtaka utalipia. Suala ni kwamba wana sehemu tofauti za kazi na bei wanatofautiana. Ukitaka wa barabarani utakula kwa 30,000 kwa one time, wa ofisini kwako kwa angalau 50,000 kwa wiki, na unaekula nyumbani kwake ukamuita mchepuko utafika hata wastani wa 1m kwa mwezi.Anaomba hela ya kusuka 20K unamtumia 50k,jioni anataka umunge na bundle la 5k,ukimwambia kwa sasa sina, anaanza kununa.
Ila kwa muelewa hapa ndipo anajua huyu wife material au unapiga unaamsha.Sometimes wanazani wanatukomoa,najua mnapenda hela ila hiyo hela unayopewa inaweza kitumia kujua wewe ni mwanamke wa aina gani.
Kwani ulivyomnunulia ulimkopesha. Na yeye akikupa hakudai, ukimkopa ni lazima ulipe.Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Kariakoo na Sinza of course.Kwani ulivyomnunulia ulimkopesha. Na yeye akikupa hakudai, ukimkopa ni lazima ulipe.
Halafu unavyoandika unaonesha huna hata shopping ya maana unayoweza kumfanyia mwanamke.
Ulimpeleka shopping Dubai? Au Paris?
Ndiyo mkuu hela ya mwanamke hailiwiWakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Kwa nini useme nikopeshe wakati hana mpango wa kumrudishia? Ukimwambia "nipe" sawa, lakini nikopeshe? Hiyo lazima umrudishie. Hata mtoto wako ukimuomba akukopeshe 500 kwa ajili ya kumnunulia Ice Cream una wajibu wa kumrudishia. Ni principle, sio kiasi ndio muhimu. Kama una pesa ya kumnunulia gari na kumlipia mafuta unashindwaje kumlipa 1000? Binadamu unatakiwa kutimiza ahadi yako. Ukimuomba akukopeshe ni ahadi ya kumrudishia. Hata kama ni thumni. Usipomlipa ataacha kukuamini. Na hiyo ni mbaya kuliko kudaiwa.Ni dharau pia ukiwa na mwanaume anakununulia gari halafu unakumbushia 1000. Ina maana huyo mwanaume sio ligi yako. Tafuta wa kipato cha kukopeshana 1000 na kudaiana. Mwanaume anaekununulia gari na anaekuambia hebu nipe 1000 nimlipe kijana kasafisha kioo cha gari halafu unamkumbusha akurudishie ile alfu nilikupa, sio ligi yako
Haya lipa deniMke ha testiwi wewe, tulista test huko nyuma ndio aka qualify kuwa mke. Na kwa nini mke anikope? Kama unamkopesha au kumkopa mumeo mwache!
Na siku akiudhika ni aina ya mtu ambae atavidai ingawa anasema alimpa. Hata nyumba na gari bila shaka zipo katika jina lake!Kwani ulivyomnunulia ulimkopesha. Na yeye akikupa hakudai, ukimkopa ni lazima ulipe.
Halafu unavyoandika unaonesha huna hata shopping ya maana unayoweza kumfanyia mwanamke.
Ulimpeleka shopping Dubai? Au Paris?
Kwa sababu mara nyingi nae anasema baby naomba unikopeshe hela ya ada ya mdogo wangu kaka yetu kachelewa kunitumia akinitumia nitakurudishia, na harudishi hata siku moja. Na mie nikasema hebu nikopeshe alfu nimpe huyu kijana katufutia windscreen, akanidai!Kwa nini useme nikopeshe wakati hana mpango wa kumrudishia? Ukimwambia "nipe" sawa, lakini nikopeshe? Hiyo lazima umrudishie. Hata mtoto wako ukimuomba akukopeshe 500 kwa ajili ya kumnunulia Ice Cream una wajibu wa kumrudishia. Ni principle, sio kiasi ndio muhimu. Kama una pesa ya kumnunulia gari na kumlipia mafuta unashindwaje kumlipa 1000? Binadamu unatakiwa kutimiza ahadi yako. Ukimuomba akukopeshe ni ahadi ya kumrudishia. Hata kama ni thumni. Usipomlipa ataacha kukuamini. Na hiyo ni mbaya kuliko kudaiwa.
Amandla...