Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Hizo ni shobo zako, lipa deni ndio tuanze kutoana out.!!
Tatizo makubaliano yalikuwaje??
Hujaelewa. At some point lazima nione kama una akili kichwani na nitakupa test kama hiyo, ili nijue kama tukizaa watoto wetu watafaa kurithi genes zako za kichwani au hapana. Utagundua kwamba wote mnaodai baada ya kufanyiwa kitu kikubwa zaidi au kupewa hela kubwa zaidi mnaachwa, ili mkamtafute mjinga mlie ligi moja
 
Hujaelewa. At some point lazima nione kama una akili kichwani na nitakupa test kama hiyo, ili nijue kama tukizaa watoto wetu watafaa kurithi genes zako za kichwani au hapana. Utagundua kwamba wote mnaodai baada ya kufaniwa kitu kikubwa zaidi au kupewa hela kubwa zaidi mnaachwa, ili mkamtafute mjinga mkie ligi moja
Kwahiyo hulipi deni ili umpime mkeo akili??
Kwann kulipa deni kunauma??
Kuna tatizo gani ukamlipa kisha ukaendelea na mengineyo??
 
Mke ha testiwi wewe, tulista test huko nyuma ndio aka qualify kuwa mke. Na kwa nini mke anikope? Kama unamkopesha au kumkopa mumeo mwache!
 
Unawezaje kumnunulia gari lakini unashindwa kumlipa 1000? Hiyo kwa kweli ni dharau.

Amandla...
Ni dharau pia ukiwa na mwanaume anakununulia gari halafu unakumbushia 1000. Ina maana huyo mwanaume sio ligi yako. Tafuta wa kipato cha kukopeshana 1000 na kudaiana. Mwanaume anaekununulia gari na anaekuambia hebu nipe 1000 nimlipe kijana kasafisha kioo cha gari halafu unamkumbusha akurudishie ile alfu nilikupa, sio ligi yako
 
Umenikumbusha nikadai deni langu la 180,000 japo juzi nilipewa 1m lakini ilikuwa ya issue nyingine haihusiani na deni langu.
Kamdai kwakweli 🤓🤓😌. Hela ya juzi haihusiani kabisa na deni lake. Hahaaaa.
 
Wakuu,

Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani

We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee

😀😀😀😀😀
 
Anaomba hela ya kusuka 20K unamtumia 50k,jioni anataka umunge na bundle la 5k,ukimwambia kwa sasa sina, anaanza kununa.

Ila kwa muelewa hapa ndipo anajua huyu wife material au unapiga unaamsha.Sometimes wanazani wanatukomoa,najua mnapenda hela ila hiyo hela unayopewa inaweza kitumia kujua wewe ni mwanamke wa aina gani.
Siku hizi wanawake wote ni madada poa tu, ukimtaka utalipia. Suala ni kwamba wana sehemu tofauti za kazi na bei wanatofautiana. Ukitaka wa barabarani utakula kwa 30,000 kwa one time, wa ofisini kwako kwa angalau 50,000 kwa wiki, na unaekula nyumbani kwake ukamuita mchepuko utafika hata wastani wa 1m kwa mwezi.
 
Wakuu,

Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani

We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Kwani ulivyomnunulia ulimkopesha. Na yeye akikupa hakudai, ukimkopa ni lazima ulipe.

Halafu unavyoandika unaonesha huna hata shopping ya maana unayoweza kumfanyia mwanamke.

Ulimpeleka shopping Dubai? Au Paris?
 
Kariakoo na Sinza of course.
 
Ndiyo mkuu hela ya mwanamke hailiwi
 
Ni dharau pia ukiwa na mwanaume anakununulia gari halafu unakumbushia 1000. Ina maana huyo mwanaume sio ligi yako. Tafuta wa kipato cha kukopeshana 1000 na kudaiana. Mwanaume anaekununulia gari na anaekuambia hebu nipe 1000 nimlipe kijana kasafisha kioo cha gari halafu unamkumbusha akurudishie ile alfu nilikupa, sio ligi yako
Kwa nini useme nikopeshe wakati hana mpango wa kumrudishia? Ukimwambia "nipe" sawa, lakini nikopeshe? Hiyo lazima umrudishie. Hata mtoto wako ukimuomba akukopeshe 500 kwa ajili ya kumnunulia Ice Cream una wajibu wa kumrudishia. Ni principle, sio kiasi ndio muhimu. Kama una pesa ya kumnunulia gari na kumlipia mafuta unashindwaje kumlipa 1000? Binadamu unatakiwa kutimiza ahadi yako. Ukimuomba akukopeshe ni ahadi ya kumrudishia. Hata kama ni thumni. Usipomlipa ataacha kukuamini. Na hiyo ni mbaya kuliko kudaiwa.

Amandla...
 
Kwani ulivyomnunulia ulimkopesha. Na yeye akikupa hakudai, ukimkopa ni lazima ulipe.

Halafu unavyoandika unaonesha huna hata shopping ya maana unayoweza kumfanyia mwanamke.

Ulimpeleka shopping Dubai? Au Paris?
Na siku akiudhika ni aina ya mtu ambae atavidai ingawa anasema alimpa. Hata nyumba na gari bila shaka zipo katika jina lake!

Amandla...
 
Kwa nini useme nikopeshe wakati hana mpango wa kumrudishia? Ukimwambia "nipe" sawa, lakini nikopeshe? Hiyo lazima umrudishie. Hata mtoto wako ukimuomba akukopeshe 500 kwa ajili ya kumnunulia Ice Cream una wajibu wa kumrudishia. Ni principle, sio kiasi ndio muhimu. Kama una pesa ya kumnunulia gari na kumlipia mafuta unashindwaje kumlipa 1000? Binadamu unatakiwa kutimiza ahadi yako. Ukimuomba akukopeshe ni ahadi ya kumrudishia. Hata kama ni thumni. Usipomlipa ataacha kukuamini. Na hiyo ni mbaya kuliko kudaiwa.

Amandla...
Kwa sababu mara nyingi nae anasema baby naomba unikopeshe hela ya ada ya mdogo wangu kaka yetu kachelewa kunitumia akinitumia nitakurudishia, na harudishi hata siku moja. Na mie nikasema hebu nikopeshe alfu nimpe huyu kijana katufutia windscreen, akanidai!
 
Back
Top Bottom