Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Mapenzi bila shekeli hayapo, na ndiyo maana uswazi kwetu wake za watu mnamalizana tu bafuni wakati jamaa kalala ndani choka mbaya unamwachia wekundu wa msimbazi wa kuanzia maisha kesho yake na mumewe.
 
Hizi Imani potofu za kumkandamiza mwanamke tushakataaga...madhara yake ni makubwa kuliko faida...we piga kazi upate mwanamke anayekupenda kwa Nini uforci ndoa
 
Na hakuna sheria yoyote inayomtaka Mke kumtii mwanaume.
Najua utaniletea Maoni ya Paulo hapa na kuyaita sheria.
Love is a package mkuu, ukijua kuwa love is not just a word but a full package, tutaelewana kuwa mume akimpenda mkewe..the rest ni historia.
 
Naunga mkono hoja.


😀😀😀
Kama hujawahi kuona Wanawake wakipenda basi ni wewe na Huko kwenu.
Wanawake wanapenda na mifano Ipo ya kutosha
 
Love is a package mkuu, ukijua kuwa love is not just a word but a full package, tutaelewana kuwa mume akimpenda mkewe..the rest ni historia.

Nafikiri hamjawahi kuoa au kufungishwa Ndoa.
Swali namba moja unapoenda kuoa au kuolewa NI hili, je unampenda huyu kijana/Binti? Jibu litakalotoka ndio ndoa inafungwa.

Siku Binti yako akikua akawa na umri wa kuolewa ndio utajua kuwa Wanawake wanapenda au hawapendi, kama Mkeo wako hujawahi kuona upendo wake kwako.

Ni Akili ya kizamani kumchukulia Mwanamke kama sio Binadamu ambaye Hana moyo WA kupenda
 
Mke wako siyo ndugu yako. Mme wako ndugu yako. Watoto mtakaojaliwa ndiyo ndugu zako. Imekwisha hiyo!
 
Mke wako siyo ndugu yako. Mme wako ndugu yako. Watoto mtakaojaliwa ndiyo ndugu zako. Imekwisha hiyo!

Hakuna undugu baina ya Baba na Mtoto au Mama na Mtoto.
Ndugu ni wale uliozaliwa nao.
Baba na Mama sio Ndugu yako.

Mke ni zaidi ya Ndugu
Mume ni zaidi ya Ndugu.
Labda upate Fekeo/Tapeli
 
Ni kweli, mwanamke akikupenda haoni madhaifu yako. Kila ukifanyacho kwake ni furaha tu.

Unawaza muonane wapi na huna kitu, unaamua tu basi hata muonane stendi ila hiyo furaha yake utadhani umempeleka selena hotel.
 
Sahihi
 


Ujawahi kuwa na hela, kuna Mzee alikuwa ana miaka 57, nina miaka 38, nilimpa kazi za mradi, kuna wakati alikuwa anajisahau anasema shikamoo mwanangu.

Hauoni jinsi machawa wa ccm wanavyojitoa utu, ni pesa hiyo ndugu. Kama huna we zitafute utaona nini kitatokea, pesa ni heshima kokote duniani.
 
Taikon nakubaliana na wewe. Enzi zile nilikuwa nimepigika balaa yule mwanamke nilikuwa nakutana nae pale Soweto Garden nikiwa na Tsh 500 tu ya soda mbili. Yeye jukumu lake ni kujitegemea nauli tsh 400 ya kuja na kurudi kwao Daraja mbili. Wala alikuwa hajali na alinipenda hatari. Nilivyohamia Dar tukaachana. Nikiwa Dar nikakutana na jambazi wa mapenzi. Kaniomba nauli nikampa Tsh 400 kama 400 ya daladala. Alipokea lakini baadae nashangaa nikimpigia simu iko bize halafu msg haziendi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…