Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji.
Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake.

2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake.
Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya ndoa. Anaweza kufanya hivo ili amridhishe mume kwa kumbambikia huyo mtoto ama kujiridhisha mwenyewe.

3. Mwanamke asiye ridhishwa na mumewe katika tendo.
Hii inajieleza.
 
Mke kutombwer nje sio kitu cha kumaindi jamani. Wanasambaza utelezi tuu
 
Una hoja usikilizwe na wanaume wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…