Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Umeacha hii mwanamke ambaye majirani na marafiki zake wengi ni wapigwaji.
 
5. Mwanamke anayeenda kufunga mzigo wa biashara China, Dubai, Nairobi au Kampala.
6. Mwanamke mwenye baba wa kiroho kanisani kwake.
7. Mwanamke mhudhuriaji wa mikesha ya maombi.

Hapo kwa kufunga mzigo, unakuta jamaa mmekutana chimbo anashobokea bills zote plus kukuongezea mzigo kwa pesa yake! Na ukiangalia upo mbali na mume hapo shetani anajibebea point zake za kuwa pamoja motoni
 
-Wale wenye tamaa au wenye marafiki wenye tamaa mbaya. Hii sababu moja ina asilimia 💯 kwenye kusababisha mkeo aliwe kimasihara.
 
Hapo kwa kufunga mzigo, unakuta jamaa mmekutana chimbo anashobokea bills zote plus kukuongezea mzigo kwa pesa yake! Na ukiangalia upo mbali na mume hapo shetani anajibebea point zake za kuwa pamoja motoni
😄😄 hakuna namna mwanamke anayeenda Dubai au China mwenyewe halafu asiliwe. Awe tajiri au maskini mazingira yanambana. Inauma sana lakini ndo hakuna jinsi.
 
Mwanamke yeyote alie CCM Muache bila kumpa sababu.fukuza na viboko juu
 
Back
Top Bottom