Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Jamani sie tunajiandaa na mechi ya fainali ....USM ALGER VS YANGA
 
Achana na utafiti uchwara,hakuna mwanamme wa kumuelewa mwanamke na hatatokea huyo mwanamme.

Kwa uzoefu wangu juu ya wanawake walioolewa hakika nabaki naguna tu.

Pole sana unayejiaminisha kupitia mwanamke
 
Alichofanyia huo mkopo hakuna😂
Huwa inatokea sababu kadhaa watu kushindwa kurejesha mikopo na kuishia kufeli ila kina mama wengi sio wabunifu na huwa wanachukua mikopo kihisia na sio kukaa chini na kupiga hesabu & calculate risks. Kina mama akiona mwenzake anauza mchele atakimbilia huko kwenye mchele bila kujiuliza maswali magumu.
 
Hi
Jamani sie tunajiandaa na mechi ya fainali ....USM ALGER VS YANGA
mEchi gani tena, hiyo mechi si isha isha?!😳
20230603_104228.jpg
 
1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji.
Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake.

2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake.
Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya ndoa. Anaweza kufanya hivo ili amridhishe mume kwa kumbambikia huyo mtoto ama kujiridhisha mwenyewe.

3. Mwanamke asiye ridhishwa na mumewe katika tendo.
Hii inajieleza.
Mama mchungaji kila nikimaliza kumtandika kipigo heavy lazima alie machozi, namuuliza nini tatizo? Ananijibu "laiti mume wake angelikuwa anamt*****mba vilivyo kama nimfanyavyo basi asingekuwa anachepuka".

Ke asiporidhishwa na kimboto Toka kwa mumewe upo uwezekano mkubwa sana wa kit*******mbesha nje. Nakubaliana na mleta mada
 
1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji.
Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake.

Hii nimeshuhudia mke wa polisi mmoja, yeye ni Mwal, alikuwa anachepuka kulipiza mumewe kutembea na house girl wao
2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake.
Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya ndoa. Anaweza kufanya hivo ili amridhishe mume kwa kumbambikia huyo mtoto ama kujiridhisha mwenyewe.

Hii ipo sana na ndiyo watoto wengi wenye dna zenye utata kwenye familia nyingi
3. Mwanamke asiye ridhishwa na mumewe katika tendo.
Hii inajieleza.

Inawahusu wanaume wenye vitambi na walevi kupindukia
 
Huwa inatokea sababu kadhaa watu kushindwa kurejesha mikopo na kuishia kufeli ila kina mama wengi sio wabunifu na huwa wanachukua mikopo kihisia na sio kukaa chini na kupiga hesabu & calculate risks. Kina mama akiona mwenzake anauza mchele atakimbilia huko kwenye mchele bila kujiuliza maswali magumu.
Ndivyo walivyo mwisho wa siku inakuja kuwa mzigo Hadi kwa mume.
 
Tena masingke mama ndio hatari wanamsusia bby daddy mbususu yote yaani utasikia...jamaa hanitombi kama wewe, yaani brian ungekuwa na hela mie wala nisingieolewa na huyu mzabzab
***** mturusha roho tuodate na masingo maza.
 
***** mturusha roho tuodate na masingo maza.
Wewe date single mama cha msingi anakupa mbususu hayo ya yeye kumuonjesha tamuu bby daddy wala hamna cha kumaindi hapo....ni kuelekezana tuu style mpya mpya
 
Usisahau na wale wanaoenda kusoma nje ya nchi...
 
Kuna vitu ni kama miale ya jua yaani huwezi kuizuia kwa viganja vya mikono
 
Back
Top Bottom