Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Mwanamke mwenye kiu ya mafanikio kwa namna yoyote ile.

Huyu yupo radhi kutoa chochote ili apande cheo, apate safari ama akuze mtaji wa biashara.
 
1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji.
Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake.

2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake.
Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya ndoa. Anaweza kufanya hivo ili amridhishe mume kwa kumbambikia huyo mtoto ama kujiridhisha mwenyewe.

3. Mwanamke asiye ridhishwa na mumewe katika tendo.
Hii inajieleza.
True

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom