Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

Umeacha hii mwanamke ambaye majirani na marafiki zake wengi ni wapigwaji.
 
Stress- free life is attainable only if you are not serious about love
I like this...

I am stealing it....

Hapa nina stress hatari kisa nahisi ni kama vile nataka kupigwa chini...

The question is: How do you take love casually? You just stop giving a damn? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
5. Mwanamke anayeenda kufunga mzigo wa biashara China, Dubai, Nairobi au Kampala.
6. Mwanamke mwenye baba wa kiroho kanisani kwake.
7. Mwanamke mhudhuriaji wa mikesha ya maombi.

Hapo kwa kufunga mzigo, unakuta jamaa mmekutana chimbo anashobokea bills zote plus kukuongezea mzigo kwa pesa yake! Na ukiangalia upo mbali na mume hapo shetani anajibebea point zake za kuwa pamoja motoni
 
-Wale wenye tamaa au wenye marafiki wenye tamaa mbaya. Hii sababu moja ina asilimia ๐Ÿ’ฏ kwenye kusababisha mkeo aliwe kimasihara.
 
Hapo kwa kufunga mzigo, unakuta jamaa mmekutana chimbo anashobokea bills zote plus kukuongezea mzigo kwa pesa yake! Na ukiangalia upo mbali na mume hapo shetani anajibebea point zake za kuwa pamoja motoni
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ hakuna namna mwanamke anayeenda Dubai au China mwenyewe halafu asiliwe. Awe tajiri au maskini mazingira yanambana. Inauma sana lakini ndo hakuna jinsi.
 
Mwanamke yeyote alie CCM Muache bila kumpa sababu.fukuza na viboko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ