Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Hii reply imemaliza kila kitu na imejaza kila details muhimu zilizotakiwa kutoa majibu kwa mleta uzi.
 
Huyo demu kama sio kibonge tufu tufu,mfupi kama koboko, mweusi tiii, halafu ana shape ya kimachame basi hii story ni ya uongo.
 
Unaona sasa tabia zao zilivyo? Halafu wakipigwa tukio wanakuja kulia.
 
Hao group la church baadhi yao nao ni washenzi wanaojifichia kwenye kivuli cha wokovu
Hamna Church boys ukidate nae labda uzingue ww na mara zote mnazingua nyinyi kwa sababu za kijinga. Mara nyingi mnadai hawana ujanja wa wanawake,hawana swager mara kitandani sio watundu na hawa wakipenda wanapenda kweli na wote wanayajua majukumu yao na kuyabeba kwa ujasiri,halafu wana huruma.

Tatizo lenu kinacho wapoteza ni kupenda hela ndio maana mnaangukia kwa waume za watu na mnendekeza nyege mnajikuta mnaangukia kwa wahuni na wahuni wengi wanachojua ni kugonga na kuacha,sasa utajua ww kama kakuacha na mtoto au ww mwenyewe utapambana na hali yako.Siku hizi tunawajulia tunajua mnapenda hela,so mnatengewa fungu ambao wanauhakika mpaka hilo fungu likiisha ushavuliwa chupi mara mbili au tatu,pili wanajua mnaendekeza ngono kuna wahuni wanatafuta vimbi la kongo, vifurushi energy full kukamia akisha kuweka mara kazaa anakupiga chini.

Wanaume wapo ila hamuwaoni sababu ya vitu viwili kundekeza hela na nyege.
 
Hii ipo dunia nzima , wanawake wanataka wanaume wenye pesa , wasio na pesa wanakataliwa mwisho wanakaza na kuzipata wewe unafikiri wataoa tena? Wakati wanajua kabisa wamependewa tu pesa?
Wanawake wamwaga maji halafu wanauliza matope yote haya yametokea wapi?

Kwa kifupi wanaume wa hovyo ni zao la wanawake wasio heshimu standards,desturi na mila za jamii bora.

Wanawake wanapenda kuishi kimasihara halafu wapate matokeo serious.

Ni mchezo ambao wamefanya kwa muda mrefu ila kwa bahati mbaya za mwizi huwa ni 40 na mbio za sakafuni huishia ukingoni. Jamii ya wanaume imewashtukia na ina wawajibisha kwa matendo yao.

Walizoea kuhama kutoka mwanaume m'moja kwenda mwingine huku wakitafuta masilahi yao tu. Atazaa na huyu atakwenda bambikia majukumu mwingine halafu atamsifia kuwa ni mwanaume wa shoka kubeba majukumu ya mwenzake cha ajabu hawezi kukubali kusikia mama yake ameletewa watoto wa nje ta ndoa, au kaka yake ameoa single mother,au mtoto wake wa kiume anachumbia mwanamke aliyezaa na waume watatu tofauti.

Wanawake wanajua wanachokifanya na huwa wanapiga hesabu kabisa ila wasichokijua ni kwa muda mrefu wanaume wamewaachia sio kwasababu hawakuwa wakiona michezo yao bali walikuwa wanajazwa ujinga na wazee au watu wazima wa nyakati hizo. Utasikia, "kitanda hakizai haramu" ," funika kombe mwanaharamu apite","Baba sie anaezalisha bali anaye lea", "Happy wife, happy life" na maneno mengine ya kuwapa moyo wa kuwa wajinga endelevu.

Siku hizi wanaume wameona hailipi kuwa mjinga sababu wameona baba zao wakifa na maumivu moyoni, mateso ya kisaikolojia uzeeni na kuishi kwa huzuni kisa tu walichagua kuwa wajinga na kutojali maslahi yao.

Hii haipo tena,ukileta ujinga unageuzwa wewe mjinga. Ongezeko la masingle mother na wasimbe sio kwamba wanaume wa sasa ni waoga wa ndoa, ila ni kwasababu wanaume wa sasa hawakubaliani na maamuzi ya kijinga ya kuishi au kuingia mikataba na wanawake matapeli wasiojua heshima na hadhi ya mke wa mtu ipoje.

Wewe ukiishi kama mdangaji usije kutegemea kuja kuolewa na mwanaume anayejiheshimu na mwenye akili ya kuwa na wewe pekee yako. Mwizi hupewa mwizi mwenzake, tapeli hupewa tapeli mwenzake.

Mnadai mapenzi ya kweli huku ninyi pesa mnaweka mbele,hayo mapenzi ya kweli mnayauza kwa bei gani kama sio utapeli tu huo?

Sasa twende kwa mwendo huu huu hadi mtakapotambua kuwajibika. Msipobadilika then tegemeeni maajabu zaidi.

Saa hii watoto mliowanyonyesha nao wameshakomaa wapo sokoni wanakimbiza wanaume mnaoshindana nao. Sooni mtabakia kuwa mabibi wasuka ukili bila babu mshika mkongoja.

Maisha yanakwenda kwa kasi sana. Mwanaume anavyovitaka vingi ni vya wakati wa ujana. Akizeeka hata kama hana mia mfukoni ila ameshatembea na wanawake 200,ameingia clubs zote maarufu,ameendesha gari analolipenda,hii kwake inampa sababu ya kusema aliishi ndoto zake.

Sijui upande wenu. Sisi wanaume hatuna shida kufa hatuna watoto,hatuna nyumba,boxer 3, vest 1, jeans 2, na shati 2 etc sisi hatuna shida we are very simple creatures. Mnatulazimisha kuishi maisha ya begi mgongoni,kofia kichwani, safari kesho asubuhi. Hatunaga kituo maalumu,uliza kwa bibi yako,ni nature yetu tokea enzi na enzi,sisi ni wasafiri, popote tutakapopewa utulivu na amani,tunaweka begi chini tunaweka kambi.

Ninyi sasa kazi kuleta ligi na kushindana na sisi,haya endeleeni. Mnahisi huu mchezo mnauweza haya sawa,tuendelee.
 
Kaka rafiki yangu na kipenzi changu Jadda Naomba aje ajibu kwa heshima yako mkuuπŸ™
 
jamaa hili jasusi kweli kweli lina mbinu balaa
cc waifu material
 
Na mwanamke ushagundua jamaa hakupendi unang'ang'ania kuishi naye ili iweje, utaahira mnajitakia wenyewe.
 
Kuna sisi tulioamua kutulia lakini bado mnaamua kutupiga matukioπŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…