kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #261
Pole yake na hongera yako ulichagua kutomuumizaPengine Mimi ni good behave personnel ndio maana hata mwanamke akijilengesha nisipo mfeel Huwa na mkwepaga.
Sipendezwi na kuumiza mtu/ Kuna mdada mmoja mitaa ya kariakoo Kuna sehemu nilikuaga napendaga kwenda wao kwao ni ghorofani mzee wape pia ni mfanya biashara mwenye ukwasi.
Yule binti akaniita akaniomba namba na akaleta ukaribu na Mimi yupo vizuri sana tuu siku tukapanda ghorofani aka ni HUG na Kuni french kiss nikamuangalia TU ananiwekea miadi sitokei ananikutanisha na ndugu zake Kuna watu wanajua kupenda.
Miaka imepita Sasa miezi miwili iliyo pita kaanza nipigia simu anajua nimeoa lakini anapiga sana simu niongee nae mixer kunilaumu kwanini Mimi sikutaka nimuoe yeye kinacho nishangaza Kuna muda haya week simpokelei simu dada wa watu sijui kwanini yule dada alinipenda na ananipenda takrinani miaka tisaa sasa Kuna muda ananambia niende kwao kumtembelea Mimi nazuga zuga sijui kwanini yule dada alitokea kunipenda vile
Inasikitisha sana mkuuNa wewe mchezee..!!
Hivi mtu mzima unarubuniwa vipi?
Anakwambia vua chupi na wewe unavua hujui nini kitatokea kweli??
Matusiii ayaa 🤣 😂Na wewe mchezee..!!
Hivi mtu mzima unarubuniwa vipi?
Anakwambia vua chupi na wewe unavua hujui nini kitatokea kweli??
Hushikiwi fimbo sasa lawama za nini? 😹Matusiii ayaa 🤣 😂
Wanipe Platinum member sasaNiwaombe tu mods watoe hiyo verified badge hapo 😂
Lipia 😂Wanipe Platinum member sasa
Bora mniue 🤣Lipia 😂
Ila coins unanunua 😂Bora mniue 🤣
Sio kununua tuu na hack adi michongo na hapa nangojea Epic wa 2K wakimleta tuu huyo 🤣Ila coins unanunua 😂
Utaweza kukaa bila kuwekana mama, maana huo ushauri unalenga kuwa spinster kwa muda, bila ngono...utaweza??Shukrani dears, nimejifunza kwasasa sitakurupuka tena na ntajipa muda, nina imani Mungu atanipa mtu sahihi.
Akiwa RMF/LMF/SS naweza fikiria kujaribu 😂Sio kununua tuu na hack adi michongo na hapa nangojea Epic wa 2K wakimleta tuu huyo 🤣
Ntaweza mkuu, ngono siyo kitu ninachopenda sanaUtaweza kukaa bila kuwekana mama, maana huo ushauri unalenga kuwa spinster kwa muda, bila ngono...utaweza??
Ila sikuizi min -me , vinywaji changamshii, nimeanza kuwakaaaPole yake na hongera yako ulichagua kutomuumiza
Woteeeeeee tuseme aminaaHushikiwi fimbo sasa lawama za nini? 😹
Sawa bwashee mwenye Rolls Royce. Ukisema neno lazima usikilizwe aisee. Ila hao mafeminist uchwara usiwe unawaita kwenye mijadala maana wako biased tayari hata kama ni wanamabaka baka....
Kaka nipo vizuri mno, nashangaa mtu anapanic mtu akifa , anataka na mimi ni panic , mimi binafsi nilishakufa zaidi ya mara kumi hivyo sishangai mtu kufa mara moja tu
Mimi huyo nilishaacha kujibizana naye maana anajifanya kichwa ngumu badala ya kuongelea uhalisia anaongelea matamanio yake, anahisi wengine hatuoni yanayoendelea kwenye jamii acha waendelee kufarijiana itafika kipindi watachoka wenyewe, walikuwepo wengi kama yeye humu siku hizi wameacha baada ya kukubaliana na uhalisia na kujua kumbe wasaliti wao wa kwanza ni wanaume wenzaoKaka rafiki yangu na kipenzi changu Jadda Naomba aje ajibu kwa heshima yako mkuu🙏
Utamu wa pipi ni mate ya anayeimumunya. Utamu wa maneno ya mwanaume ni yale matamanio uliyo nayo kusikia mwanaume atakutimizia bila shida yoyote. So sio mwanaume ni wewe umeshindwa kupambana na tamaa zako. Ukizimudu tamaa zako hakuna mwanaume atakaeweza kukuvua chupi.Maneno matamu mnayokuja nayo huwa yanatupumbaza
Mimi niwe kichwa ngumu kweli,wewe utakuwa nani?🤔Mimi huyo nilishaacha kujibizana naye maana anajifanya kichwa ngumu badala ya kuongelea uhalisia anaongelea matamanio yake, anahisi wengine hatuoni yanayoendelea kwenye jamii acha waendelee kufarijiana itafika kipindi watachoka wenyewe, walikuwepo wengi kama yeye humu siku hizi wameacha baada ya kukubaliana na uhalisia na kujua kumbe wasaliti wao wa kwanza ni wanaume wenzao
Sahihi mkuuUtamu wa pipi ni mate ya anayeimumunya. Utamu wa maneno ya mwanaume ni yale matamanio uliyo nayo kusikia mwanaume atakutimizia bila shida yoyote. So sio mwanaume ni wewe umeshindwa kupambana na tamaa zako. Ukizimudu tamaa zako hakuna mwanaume atakaeweza kukuvua chupi.