Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Swali jepesi wee mzabzab akikuomba mbususu utatoa?
 
🤣🤣🤣🤣 mbuzi sio kabisa.
Ukiwafungulia tu kila mmoja anakuonesha tabia yake... Mwingine ataanza kupigana na ukuta, wengine shambani kwa jirani, wengine wanakuangalia usoni bila aibu na kuna wale wanaokataa kwenda unakotaka kuwapeleka.

Ukisikia style ya mbuzi kagoma ujue kuna mbuzi hata ukiwasukuma wanashika break na miguu ya mbele hawataki kwenda wala kurudi ilimradi uchanganyikiwe 🤣🤣🤣
 
Kwenye machafuko, Vita, civil unrest, huwa kuna common story, ubakaji! Sasa, unajiuliza, nchi ipo vitani,mizinga inarindima, risasi, zinaruka kushoto kulia,wanaume wanawezaje kubaka katika Hari tete kama hiyo! Yaani, uuume unasimamaje kwenye hatari!
Pole Sana, Dada, Ila kwa sasa hv, huwezi,kuwalaumu wanawake peke yao,
Hata, wanawake, wameota mapembe, sharubu, ni majambazi, wa mapenzi, wakati mwingine zaidi ya, wanaume!
Unaweza ukaanzisha uhusiano Leo, mka kaa miaka kadhaa, mkafunga ndoa, mkapata watoto, kumbe kipindi chote hicho, hata kama ni miaka 10,baby mama amekuwa anamtunuku boyfriend wake wa chuo,ambaye pia ameoa, mkeo, analiwa, anafua, anapika, na anarudi home, tsbasamu kubwa, unashangaa mbona halalamiki sijampa tendo muda mrefu, kumbe daaaa!
 
Inawezekana wakati anaingia kwenye maisha yako alikuwa anakupenda, ila akaja kubadilika.

Labda umuulize nini kilisababisha akuache japokuwa majibu yanaweza yasitosheleze au yakakuumiza zaidi.

what goes around, comes around.
Sio kweli. Kuna wengi tu wanafanya mabaya ila maisha yanawanyookea.

Jifunze kuachilia mambo vinyongo vitakupotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…