Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Asante sana mkuu ila inasikitisha sana
 
Sina kinyongo na mtu, na siwezi kumtafuta mtu aliyeamua kujitoa kwenye maisha yangu
 
Sio sisi tu wanaume kuwachezea wanawake, hata wanawake wanatuchezea, wameweka maslahi mbele, tukishayumba kdogo wanasepa zao. Sometimes watu huingia kwenye maisha ya wengine bila kujua uhusiano utakua wa kiasi gani, unaingia sababu mwenzako kakuamnisha atakuwa na wewe bega kwa bega kwa nyakati zote.

Pia mwngine anaingia akijua anaingia kwa malengo yake sio yenu wawli kwa pamoja, hapo ndio inakuwa msala.

Ukiamua kuwa sehemu ya maisha ya mtu unatakiwa uje na nia njema, uwe umepnga kuw na future.

Maumivu yapo kwa anaeachwa mara nyngi haijalishi ni mwanaume au mwanamke. Kuingia tu kisha kuondoka hovyo ni uungwana?
La hasha huo si uungwana.
 
Hii movie imetengenezwa kitaalam Sana😃
 
Asante sana mkuu umeelezea vizuri sana kuna baadhi ya wanawake siyo waungwana lakini pia kuna baadhi ya wanaume siyo waungwana wanaingia kwenye mahusiano kwasababu ya maslahi yao binafsi, Mungu atuepushe nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…