lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
nitaongeaje kitu sinauhakika nacho?kwani umeolewa?🤣🤣🤣
Nami nimekuuliza una hakika? Jibu basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitaongeaje kitu sinauhakika nacho?kwani umeolewa?🤣🤣🤣
Nami nimekuuliza una hakika? Jibu basi.
Ungemkataa angeumia ×1000Nilitaka nimuumize tu kama mimi nilivyoumia nafsi yangu ilizike
Uko sahihiTatizo hata wanawake wasio na pesa hawataki wanaume wasio na pesa
Mbwai iwe mbwai
Kwa ground mambo si yanaonekana, hata hivyo mimi sipingi wao kuolewa, nafikiria tu ile bond ya wazazi inayokufa mmoja akifa. Yaani kwa status yangu naweza kuoa ila kaa asokuwa na mtoto ni risk kubwa sana.Usiwapangie watu maisha. Wanaolewa kila uchwao, nyie mkibakia kupiga kelele kwenye key board.
Hata mimi sijui mkuu, vipi kwani nawe umeolewa?nitaongeaje kitu sinauhakika nacho?kwani umeolewa?
🤣🤣🤣🤣🤣Astakafirilai astakafirilai
Risk ni ipi? Hebu elezea.Kwa ground mambo si yanaonekana, hata hivyo mimi sipingi wao kuolewa, nafikiria tu ile bond ya wazazi inayokufa mmoja akifa. Yaani kwa status yangu naweza kuoa ila kaa asokuwa na mtoto ni risk kubwa sana.
acha wasemeKwaresma and Ramadhan zimeiesha ule ujinga mwingi unarejea majukwaani,bar and kila mahala
Ngoja nikanywe chai kwanza, naona unanipa njaa🤣Risk ni ipi? Hebu elezea.
Mimi dume kua muwazi nione kama naweza kukusitiri au vipiHata mimi sijui mkuu, vipi kwani nawe umeolewa?
🤣🤣🤣🤣 umepika?Nhojq nikanywe chai kwanza, naona unanipa njaa🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi dume kua muwazi nione kama naweza kukusitiri au vipi
Ulisema nina mikono, hawa ndio wake wa kizazi cha nyoka🤣🤣🤣🤣 umepika?
🤣🤣🤣🤣🤣Ulisema nina mikono, hawa ndio wake wa kizazi cha nyoka
Ndo kuwa straight kwa huyo mwanamke, sio ukiwa nae faragha unamdanganya halafu huku JF unafunguka.Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi.
Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee.
Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu.
Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana alikushikia bunduki?.
Umepoteza bikra hapo subiri mwendelezo wa kuchezewa mpaka siku Mungu akikuonea huruma ndipo utaolewa au atakupumzisha mahal
kwahio umeolewa?🤣🤣🤣🤣🤣
Hata kama ningekuwa sijaolewa khaaah!! Kwakuwa nakuwa nimemkosea nini Mungu!!!
Ni wachache sana na ni weak men huwa wanawaoaUsiwapangie watu maisha. Wanaolewa kila uchwao, nyie mkibakia kupiga kelele kwenye key board.