Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

Na upuuzi wao wanaouandika katika social media mbali mbali ndiyo unazidi kuharibu mahusiano na hata ndoa kwa wengi kuiga huo upuuzi unaosambazwa mitandaoni.

True mademu wa bongo ni fake sana.... Halafu ni hiki kizazi kilichozaliwa mid 1990's.
 
Kwanza nani amekudanganya wanaume wanataka kuhurumiwa?!

Jua tu majukumu yako ya kike hauyajui.
 
Na upuuzi wao wanaouandika katika social media mbali mbali ndiyo unazidi kuharibu mahusiano na hata ndoa kwa wengi kuiga huo upuuzi unaosambazwa mitandaoni.
Naam mabinti wengi wanakuwa influenced na hayo mautopolo yao
 
Mwanamke akiotea kidogo tu kelele.
Anza kupiga hayo mateke na ngumi. Kesho atakuwepo mkata kucha, atakuja muuza mitumba, na wengine wengi watafuata kwa gharama zako.
Hapo utapanda cheo na kuwa shuga mamii kijeba
 
Na upuuzi wao wanaouandika katika social media mbali mbali ndiyo unazidi kuharibu mahusiano na hata ndoa kwa wengi kuiga huo upuuzi unaosambazwa mitandaoni.
Inawagharimu wao lakini....

Maana kwa mfano mimi nikitazama age mate wangu au wale wanawake nimewazidi kuanzia miaka 1 hadi 5 wengi kwasasa wameshakanyaga au wanakaribia 30.

Wameshavurugwa na hawana ladha tena maana wameshaanza kukomaa.

Ila nikitazama ambao wapo available wengi ni watoto wa kuanzia 1997 kuendelea...... Wengi sana ni wa umri wa kuanzia 1999......

So kimsingi maisha ya wanawake yanatakiwa utulivu na hekima sana maana wao ndio huwa wanapoteza malengo na directions haraka.

Mimi nikizaa na wanawake 10 still nina nafasi ya kuanza maisha na mwanamke mpya tena mbichi kabisa..... Ila mwanamke akizaa na wanaume wawili tu wakamtenga tayari ameshachemsha gemu.

Zari yule pale anajifanyaga sijui boss lady ila tazama kila siku kulia lia hapewi matunzo na kutaka attention ya wanaume.
 
Nakazia hii reply 👏👏👏
 
Waangalie Michelle na Barack Obama walipo leo hii. Walianza hawana kitu maskini wa kutupa lakini leo wanakula matunda ya penzi lao la ukweli matunda ya jasho ambalo wamechuma pamoja. Hizo tamaa zenu na mapenzi yenu FAKE zitawapeleka pabaya.

Kwanza walikutana wapi? Then unafikiri Barack angekuwa furushi Michelle angehangaika nae? Aliona yuko na mtu mwenye mwangaza mbele.

Narudia tena, fukuza hilo furushi hapo nyumbani likatafute sio limekaa tu kubadili vipindi kwa tv.
 
kama mwanaume napenda motivation kama za design hii
 
hahahaa kama ulidanganywa kuwa uchi ni sehemu ya kupatia pesa basi fanya mpango ukadate na ATM

Soma alama za nyakati la sivyo muda si mrefu utajikuta kwa waganga wa kienyeji kuongeza mvuto
 
hahahaa kama ulidanganywa kuwa uchi ni sehemu ya kupatia pesa basi fanya mpango ukadate na ATM

Soma alama za nyakati la sivyo muda si mrefu utajikuta kwa waganga wa kienyeji kuongeza mvuto
Mzee baba Acha kupaka packages losheni ya mkeo hapo ndani amka Katafute naona umepanic ya bando lote 😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…