Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke

Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe

Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake

Mwanamke kunyoa sehemu zake za Siri bila ruhusa ya mme wake ni ishara ya ushirikina na kuleta mikosi Kwa familia

Mwanamke akitaka kunyoa laZima amjulishe mme wake nae aridhie,
Sio mwanaume Yuko safari anakuta kipara aisee laZima urudi kwenu na makovu

Wanawake mnapohitaji kujisafisha sehemu za Siri si vibaya kumwambia mmeo ili ajue, itaonesha heshima na uaminifu japo Kuna makurumbembe yatakataa

Ndo maana ya kuwa mwili mmoja
 
Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke

Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe

Kitendo cha mwanamke kujiamuria kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake

Mwanamke kunyoa sehemu zake za Siri bila ruhusa ya mme wake ni ishara ya ushirikina na kuleta mikosi Kwa familia

Mwanamke akitaka kunyoa laZima amjulishe mme wake nae aridhie,
Sio mwanaume Yuko safari anakuta kipara aisee laZima urudi kwenu na makovu

Wanawake mnapohitaji kujisafisha sehemu za Siri si vibaya kumwambia mmeo ili ajue, itaonesha heshima na uaminifu japo Kuna makurumbembe yatakataa

Ndo maana ya kuwa mwili mmoja
Mjifunze kua romantic mke angu na mnyoa kila ijuumah.....kwetu hiyo sio issue nikama shamba langu nalikagua kila wakati.
 
Wanaume gani hao? Nyinyi nyinyi ambao mkiombwa elf kumi mnakuja kushusha uzi wa page tatu? Au kuna wengine bro
Unabahati mbaya ulipata mwanaume masikini asio jua thamani ya mke, wakwangu suala la pesa sio issue kwasbb nafanya kazi kuajiri yake na watoto nayeye ndo kiongozi, next time tafuta mwanaumme mwenye pesa na kujali sio handsome tu.
 
Back
Top Bottom