Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Nakumbuka niliwahi kushuhudia ugomvi mkubwa Kisa Mwanaume ametoka safari kakuta kiwanja kisafi,Akaanza kutoa kipigo kwa mkewe kwa nini kasafisha pori yeye alitaka kwa kipindi alichokaa alitaka akute msitu.
 
😎

Mbona unayadharau? Yangekuwa siyo muhimu yangeota mahali nyeti namna hiyo? Wanaopendana inatakiwa hivyo. Halafu brother akimaliza tu kulima, utamwona anataka kupandamo muhogo 😎
Nimecheka sana
 
Kuna jamii zingine mtu kabla ya safari anazisuka, ole wake arudi kutoka safari ya siku kadhaa akute mavuzi yana msuko mwingine, mke anaweza kupata msukosuko mkubwa wa karibu na kifo.

Jamii hizo ambazo mume husuka mavuzi ya mkewe zipo nchi za Somalia, Afghanistan n.k ila kwa Tanzania sijui ni jamii zipi ?
 
Wazee wetu walikuwa mengi
Naona vijana humu wanapuuza
Brother, ndo hawa hawa, ukiwaambia wanakuambia "umepitwa na wakati". Sasa hapo sijui aliyepitwa na wakati ni nani!? Mimi nayajuwa ya nyakati zilizopita na za Sasa. Hawa dot.com ni shida sana.
 
Back
Top Bottom