Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

Nimeishia hapo uliposema ni ushirikina nq kuleta mikosi.



Nimegundua nimefungua uzi usiofaa
 
Weka video asu picha kwa faida ya members... Maana bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Mahondaw
 
Nonsense. Kuna demu pisi kali sana alikuwa ananipenda sana, enzi hizo anasoma chuo flani. Sasa siku chache kabla sijafanya maamuzi ya kumbandua, akajipiga picha yanuchi na kunitumia. Heeeeh, huko chini ni msitu. stimu ilikata ghafla na sikumla tena hadi leo, ni miaka karibu kumi bado ananitafutaga na tukichat bado ana matumaini kuna siku tutaonana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…