Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

Wanaume wengi wamelazimika kuoa wanawake sababu ya mimba zilizotegeshwa na hao wanawake [emoji108]

Na Ndiyo maana wakishaishi pamoja baada muda Mwanaume anachepuka.
 
Wanawake wengi wanapitiia changamoto ya mfumo wao wa hedhi ukiachana na wachache wanaoamua wenyewe kuibambika, wangeanza kupewa elimu ya mzunguko wa siku zao kwanza, unakuta dame analalamika mi siku zangu zipo tofauti mwezi ulopita nimeona tar14 mwezi huu tar21 as if anataka zijirudie tar14 hiyohiyo kila mwezi mpaka unamshangaa
Kwa nini hawatumii condom??
 
Ni kweli, mabinti wengi wanapata mimba wala hawapendi, ila hawajui kabisa mizunguko yao ipoje, mtu ana mzungguko wa siku28 anahesabu kama mtu wa siku30, lazima siku moja itanasa tu
Ishu inakuja kuwa kwa mahesabu yako wewe ulopiga unaona upo siku safe kusex lakini kumbe kimahesabu upo danger days, so unashtuka after a week unaamka umechokachoka huelewi ndo tayari hivyo
Kwa nini hamtumii condom??
 
Sasa kuanzia Sasa hizo sperm ziwe mapovu ndio mtajua hamjui.Wewe kabla ya kulala na mwanamke mwambie kabisa lengo letu ni kustarehe kwani unaogopa nini wakati nyie ni watu wazima
 
Sasa kuanzia Sasa hizo sperm ziwe mapovu ndio mtajua hamjui.Wewe kabla ya kulala na mwanamke mwambie kabisa lengo letu ni kustarehe kwani unaogopa nini wakati nyie ni watu wazima

Sheria itungwe Kwanza alafu haya mengine tutajua hukohuko.
Kuna Wanawake hata uwaambie kuwa huna Mpango na kuzaa naye vichwa vyao ni vibovu.
Sheria itungwe Kwanza ndio tutajua haya mengine
 
Wanaume wengi wamelazimika kuoa wanawake sababu ya mimba zilizotegeshwa na hao wanawake [emoji108]

Na Ndiyo maana wakishaishi pamoja baada muda Mwanaume anachepuka.

Kuoa Mwanamke kisa umempa mimba nako ni kutojitambua. Ni kama MTU asiyejua alikuwa anataka nini
 
Ardhi haipangiwi kuwa ioteshe mmea au isioteshe labda kama utaweka mbegu mbovu shambani, haitoota, ila ukiona kuwa haitaki mbegu iote shambani, basi iache ndani ya magunia.
Tofautisha Ardhi na MTU.
Uliwahi sikia ardhi au mbegu inashtakiwa?
 
Hii hoja haina nguvu kwasababu hakuna mtua analazimishwa kumwagia ndani. Na kama mwanaume huwezi kukubali kuitunza damu yako basi umevuka viwango vyote vya ushenzi.
 
Wanawake wengi wanapitiia changamoto ya mfumo wao wa hedhi ukiachana na wachache wanaoamua wenyewe kuibambika, wangeanza kupewa elimu ya mzunguko wa siku zao kwanza, unakuta dame analalamika mi siku zangu zipo tofauti mwezi ulopita nimeona tar14 mwezi huu tar21 as if anataka zijirudie tar14 hiyohiyo kila mwezi mpaka unamshangaa

Unazungumzia Watoto.
Ukishataja neno Mwanamke jua umetaja MTU wakike anayejitambua
 
Hii hoja haina nguvu kwasababu hakuna mtua analazimishwa kumwagia ndani. Na kama mwanaume huwezi kukubali kuitunza damu yako basi umevuka viwango vyote vya ushenzi.

Mwanaume anahaki ya kuchagua mwanamke wa kuzaa naye kama ilivyo Kwa Mwanamke.
Kufanya Mapenzi na Mwanamke haimaanishi MTU anataka kuzaa naye. Huo ni uhuni
 
Mkuu Robert Heriel Mtibeli sikubaliani na wewe kwa hoja zifuatazo.

1.Kufanya ngono si starehe.

Mimi ni Muumini wa Dini ya Kikristo na kwenye maandiko tunaona Baada ya Uumbaji Mungu alipumzika siku ya saba akastarehe,haisemi starehe hiyo ilikuwa ngono.Hivyo kwenye hilo suala kusema eti Ngono ni starehe nakupinga kwa nguvu zote.

2.Unapofanya Ngono matokeo yake huwa ni ujauzito.

Ni kichaa tu ndiyo atakataa ya kwamba matokeo ya mwanaume kumwaga sperms kwenye uke ni kupatikana mtoto.Usipohitaji mtoto tumia kinga(condom),lakini usiseme eti ufanye ngono na mwanamke utegemee asizae wakati umemwagia sperms zako.

Yaani ufanye Ngono na mwanamke almost 1 year utegemee asipate mimba? Na kila siku unamwagia sperms na akizaa ukatae mimba? Wewe utakuwa huna akili timamu.

Hoja zangu ndizo hizo,lakini pia kama hitaki mtoto nenda kaoe uzae na mkeo lakini si kulala na mabinti za watu halafu usitegemee mimba kutoka kwao.

Hutaki mtoto basi tumia kinga(condom).
 
Ila Dah😂😂

😀😀
Tunaenda kuwashtaki Kwa Utapeli na uhuni.
Ninyi mnahaki ya kuchagua wanaume wa kuzaa nao, hata Sisi tunahaki ya kuchagua Wanawake WA kuzaa nao.
Masuala ya kupewa mimba na watoto bila ridhaa ni ushenzi
 
Back
Top Bottom