Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

Wewe unaleta hoja za ukristo kwenye serikali?
Je, haki ya mwanadamu inalindwa na Mungu au Serikali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 


Inaachaje kuwa ridhaa wakati ulitoa nguo mwenyewe? Mbwa wa kiume pekee asiye na akili ndo anaweza kuwa na utetezi huo.

1. Condom.
2. Kumwaga nje.
3. Calender.

Inakuwaje ulalamike? Zote hizo umeshindwa? Kweli hii ni aibu.
 
Inaachaje kuwa ridhaa wakati ulitoa nguo mwenyewe? Mbwa wa kiume pekee asiye na akili ndo anaweza kuwa na utetezi huo.

1. Condom.
2. Kumwaga nje.
3. Calender.

Inakuwaje ulalamike? Zote hizo umeshindwa? Kweli hii ni aibu.

Huwezi Elewa kama hujataka kuelewa.
Unafikiri hizo njia zote zisijui?
 
Huwezi Elewa kama hujataka kuelewa.
Unafikiri hizo njia zote zisijui?

Kama wewe ni binadamu and you know unachopaswa kufanya, na usifanye, then unawajibika na matokeo.

Mwanamme anayemlaumu mwanamke kwa mimba (labda abakwe au atekwe), ni mpumbavu.

Unao utashi wa:

1. Kulala na mwanamke matured.
2. Kutokulala na mwanamke desperate.
3. Kuchagua mwanamke anayefaa.
4. Kutumia Condom.
5. Kumwaga nje.
6. Kufuata kalenda.

Baada ya hayo yote hapo juu, bado utalalama kwamba sio ridhaa yako kumpa mwanamke mimba?

Ni ridhaa, umechagua kumpa mimba kwa kitendo cha kushindwa kutumia mbinu zote hizo, impliedly umerizia kumpa mwanamke Mimba.
 
naunga mkono hoja, wanatutegeshea sana, hasa wakijua una Ka IST na vishilingi vya kubadirishia mboga.
 
Nimeshaelewa,
Unafikiri kila ukifanya mapenzi mimba inaingia?
Mwanamke ndiye ana-control sex na Uzazi.
Na sio mwanaume mpandaji.
Ndio maana Mkeo anaweza kukubambikizia Watoto na usijue lakini wewe huwezi kufanya Jambo Hilo.
Nd
Yaani mwanamke ambae anatoa yai kwa mwezi linaloishi masaa 24 ndo acontrol uzazi?Mwanaume mwenye uwezo wa kutia mimba kila siku iendayo kwa Mungu yeye vipi?Mwanaume ndo anaetakiwa kucontrol uzazi maana yeye kila akitimwaga anauwezo wa kutia mimba. Yeye ndo ajilinde.
 

Elewa kuwa kulala Mwanamke hasa ambaye hujamuoa na ni mtu mzima ni kwaajili ya starehe.
Elewa pia kuwa Mimba inamhusu Mwanamke kwa asilimia kubwa. Yeye ndiye anayeamua iingie au isiingie.
 
I am a woman na naunga mkono hoja yako!you are on point!
Kukubaliana kwenda kulala pamoja ni.kuwa lolote laweza tokea mimba au ukimwi

Kukumbatiana mkumbatieni nyie halafu make jamii itunge sheria mna wazimu
 
Elewa kuwa kulala Mwanamke hasa ambaye hujamuoa na ni mtu mzima ni kwaajili ya starehe.
Elewa pia kuwa Mimba inamhusu Mwanamke kwa asilimia kubwa. Yeye ndiye anayeamua iingie au isiingie.

Very high level of rubbish and stupid thinking, you have the organ, you push it in to a vagina, and you blame anayepokea?

Who pushes the organ toward vagina?

Una hiyari ya:

1. Kutolala na mwanamke.
2. Kuchagua aina unayotaka.
3. Kutumia kinga.
4. Kumwaga nje.
5. Kutumia calender!

Wewe si Mbwa!
 

Mwanaume hawezi kujilinda wakati madhara hayapati yeye. Hilo ni moja.
Anayejilinda ni yule ambaye anawajibika kwa asilimia kubwa kuhusu jambo fulani. Kwa ishu za uzazi Mwanamke ndiye anayewajibika na anayehusika kwa asilimia 100%

Yeye ndiye anayetakiwa kujilinda Kabla, wakati wa mimba na baada ya mimba.

Huwezi sema Mwanaume ajilinde kwa jambo ambalo mchango wake ni mdogo ukilinganisha na mwanamke kwenye ishu ya mimba.

Masomo ya uzazi yanamlenga zaidi Mwanamke kuliko mwanaume kwa sababu mwanaume mchango wake ni mbegu tuu ilhali Mwanamke mchango wake ni zaidi ya mbegu
 
Very high level of rubbish and stupid thinking, you have the organ, you push it in to a vagina, and you blame anayepokea?

Who pushes the organ toward vagina?

Ndio maana jamii zenye akili zinapendekeza Sheria ya utoaji mimba.
Ukishakubali zinaa kwenye jamii huwezi kuzikataa sheria kama hizo ambazo unaziita za kipuuzi.

Sio lazima uingize uume kwenye uke ndio Mwanamke apate mimba.
Hizo akili niza Watu wajinga.

Alafu hapa hakuna anayelaumiwa. Ishu ni Haki tuu.
Mtu Kaja kwa ishu za starehe alafu wewe unaleta mimba. Upuuzi
 
Kwenye kuhusisha serikali,nadhani ulitakiwa kumshirikisha mwenyekiti wa serikali ya mtaa akupe kibali cha kudinya kavu kavu.
Af mbona unalalamikia mwanamke kubeba ujauzito, hata unapoenda vichakani si unapita madukani? Labda ungesema msaidiwe pesa ya ndomu mnapoenda kugegeda. Au unapomwaga labda wewe unategemea kitatokea kitu gani!

Kwenye kudinya na kuachia grisi,bora ungekuwa unafanya na mtu unayejua upo tayari,likitokea la kutokea utawajibika. Sasa wengine unakuta na vichaa hamviachi,mnaogopa mtajulikana.
Adawayizi,chomoa muache ahangaike huko mwenyewe. Kama umelipia na starehe umepata,nini shida tena?

Mnaogopo masebene ya wake zenu wakijua mmedinya nje na kitu imekubali
 
Kwa akili hizi,mtaendelea kutegeshewa mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…