daviey69
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,234
- 871
tujuze pls...........weeee umewah kuona picha ya korosho ikichorwa??
waijua maana yake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tujuze pls...........weeee umewah kuona picha ya korosho ikichorwa??
waijua maana yake??
Umeshawahi kukutana na hili?utajisikiaje/unajiskiaje unavyorud nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako?
Au akaomba kuvaa saa yako wakat anatoka!
Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
Raha saaana aisee, kuna siku ilitokea mvutano kati ya mie na bf wangu. Ye aling'ang'ania kuvaa skin tyt yangu Mwisho wa siku nilimwachia kweli akavaa na kwenda nayo job. Yaan alikuwa very comfortable!!!

halafu unakuta kitenge chenyewe kina maua ya kosrosho, ama khanga yenyewe ina mji.
halafu watoto wako kwa bibiiiiiiiiii, ni mchana mmesha kula nguna yenu mkekani, mmepumzika................halafu pasina haraka unaanza uchokozi................
Diii nikuulize swali??
Uliza tu hny!
Hivi umeyaona haya maua ya korosho kwenye kanga ulovaa?? waijua maana yake??
kinafwata kibao cha uchokozi hapana bwana mi stakiiiii<<>>>>>>>>>>>>>>>>
jamani kuna mtu kaniandikia sio mimi
hahahaa raha sana haya mambo..
nataka kujaribu bahati yangu
inapendeza kama ana vaa anapofanya shughuli maalum tena iwe home,sio tuna enda out ndo anakomelea pamba zangu hapo kina nuka .
halafu unakuta kitenge chenyewe kina maua ya kosrosho, ama khanga yenyewe ina mji.
Halafu watoto wako kwa bibiiiiiiiiii, ni mchana mmesha kula nguna yenu mkekani, mmepumzika................halafu pasina haraka unaanza uchokozi................
Diii nikuulize swali??
Uliza tu hny!
Hivi umeyaona haya maua ya korosho kwenye kanga ulovaa?? Waijua maana yake??
Kinafwata kibao cha uchokozi hapana bwana mi stakiiiii<<>>>>>>>>>>>>>>>>
jamani kuna mtu kaniandikia sio mimi
Huyo ni JIKE-DUME pambana.
skintight haina tofauti sana na boxer na imetofautiana na bikini...
ahahahhahahhahahhaahaha inafatia nini ujue.......
mtu kanyanyuka anajifanya aningia ndani kuchukua gazeti
ehehehhehhehe anajicheleweshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukisema umfate ahahahahhahaha KAWEKA TURUBAI! watu8 unayakumbuka yake maturubai ya jkat yale ya jinja ehehhehe enzi zile ukiwa na msiba tu wanaum wanasimika miti af turubai juu!ahahahhahahhahhah
HAKI YA MAMA KUNA MTU ANAHACK id yangu!
unafikr uongo!
mie napenda kuvaa shati au tisheti ya babe wangu usiku,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
yani hapo full kumtega na michezo ya mahaba!!!!!!!!!!!!!!! tena siku hiyo kama anaangalia uefa mechi!!!!!!!!!!!!!!
mwali kwenu kushawahi kuwa na msiba?hahahahahhaahahhahahahahahhahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!! halafu unafikiri ndani ya turubai nini kinafwata??
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............................eti mnajizungushia turubai ..... halafu si unakumbuka siri ya kujifunika khanga mkiwa mmesimama?? sijui Watu 8 anaijua sijui.............................sheria yake ni lazima wote mgeukiane ili asiwepo alomzidi mwenzie nje ya mstari, na mnasimama ama matumbo yagusanne ama wa nyuma atizame kisogo cha mwenzie................. sas ahapo otea nini kinafwata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
WALLAH.........MAKEMIKALI YAME BRAINWASH AKILI YANGU
sio mimi jamaniiiiiiiii!!!!!!!
hahahahahhaahahhahahahahahhahahah!!!!!!!!!!!!!!!!!!! halafu unafikiri ndani ya turubai nini kinafwata??