The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Kuna watu hawajielewi humuTuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Mungu ni mwema......Naendelea kuimarika mkuu
Si wavue hata hizo chupi watembee uchi kabisa ili kuonyesha hasira zao?Utawala wa kidini umekuwa kero kubwa kwa uhuru wa wanawake kuvaa mitindo waitakayo kama wanawake wenzao sehemu zingine duniani
Hivi kuna race inayowafikia Waarabu kwenye mambo ya kuzibua mtaro?Wakristo inawanogea saana wanawake wakitembea uchi!!! Ni kwanini eti? Vita yenu kwa wenzenu waislam ni juu ya kupiga marufuku kina mama kutembea uchi na ushoga,ila nyie mnapambana wanawake watembee uchi
Dini yako au dini ya mwarabu?Sie wanaume ni watu wa ovyoo xnaa ,.hapo wagalitia Meno yote nnje mkiona hayo mapaja ya huyo mwanamke ,?umalaya tuh hakuna cha Uhuru wala nn wanaume tunapenda kuona vitu hivo na wanawake wasiojielewa ndio huvaa hivo
...uislam utapinga hayo mpk mwisho msilazimishe dini yetu iwe ya hovyo kama yenu
Toka hapa uongo wako!Hata europe huwezi kutembea hivyo mtaani utakamatwa
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Madaktari wamesema anatatizo la afya akili amechukuliwa kwa ajili ya tibaMwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
View attachment 3142875
Dini ni UONGO mtupo
Huku kwetu bado tuko na legacy kubwa ya dini za majahazi na meli.Dini ni UONGO mtupo
Lakini kwa uvaaji huo hata huku kwetu kwa mtogole na viunga vyake vya Tandale na Vingunguti huwezi kukuta bidada kavaa hivyo
Mivao hiyo utaikuta yale maeneo yote kuanzia saa 2 usiku kwa akina dada poa
hebu fikiria hakuna uhuru halafu ina uchumi mzuri, je kungekuwepo uhuru nchi hiyo ingekuwa na uchumi gani? India na south afrika wangeenda kusoma huko. Hiyo nchi ingekuwa sawa na ulaya tu kama ilivyo uturuki ni ya kiislam ila haina udiniUhuru ni upi kwa tafsiri yako? Au huko kutembea uchi kama mbuzi kwako wewe ndiyo uhuru?
Iran pamoja na sheria zake madhubuti za kulinda tamaduni zao na licha ya vikwazo chungu nzima lakini ina teknolojia ya hali ya juu tishio kwa ulimwengu wote na uchumi imara.
Wewe uliopo hapo nchi ya Danganyika uliye na uhuru hadi wa kutembea nusu uchi hadharani una maendeleo gani ya kujilinganisha na Iran ama nchi yoyote ya Kiarabu iwe yenye vita ama lah?

Waarabu ni wanafki
Amejitoa sadaka kwa shtwan Ayyatollah