Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,556
Kuondoka lazima ataondoka muda wake ukifika, ila sisi hatujapenda kwa kitendo cha kumlisha kitimoto kila anapoingia.Si arudi kwao
Ana impact gani kwa Japani kwamba akiondoka ataacha pengo
Kujipa umuhimu
Jiheshimu mkuu, nyuzi gani hizi unatuletea???Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Box la dini walilojifungia watu wa itikadi hiyo haliwaruhusu kuwaza nje yalo,kila kitu wanataka kisiwapite alimradi wajionyeshe wana haki sana duniani.socialization skills ndio mpango ,utaishi na jamii yyte ile bila kwaro.
uc washitue xaxaWasiokula mdudu wanakosa vingi
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Acheni kuleta chuki binafsiArudi nchini kwake.
Akale anachotaka.
Huwezi kwenda ugenini, halafu utake uishi kama ulipotoka.
Hawa waislamu ni wapumbavu sana.
Ukienda kwa watu. Utakula utakacho kikuta.
Kama huwezi, usile na urudi ulipotoka.
Huyo mwanamke afukuzwe mara moja, akamlamlamikie Bibi yake huko Uarabuni alipotoka.
Mdada mzuriRai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Nani kamualika huko Japan?Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Yes mayai ya Japan ni mayai ya nguruwe. Kule viumbe aina ya ndege huwa hawapo kuna nguruwe tu.hata mayai na maziwa?
Angefanya research kabla hajaenda apunguze kulialia nowadays dunia ipo kiganjaniKuondoka lazima ataondoka muda wake ukifika, ila sisi hatujapenda kwa kitendo cha kumlisha kitimoto kila anapoingia.
Watoto wa kike wa kiislamu hawana access ya ku browse mitandaoni hovyo,mkuuAngefanya research kabla hajaenda apunguze kulialia nowadays dunia ipo kiganjani
Yaani Kuna baadh ya comment unaona jinsi watu walivo na trauma na chuki za udiniAcheni kuleta chuki binafsi
Kila mtu ana uhuru wa kusema anacho kitaka
Watu hawapendi mtu kuwa huru, wanataka utumwa wao waingie watu wengineYaani Kuna baadh ya comment unaona jinsi watu walivo na trauma na chuki za udini