The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
Angesafiri na chakula chakeNyinyi mnaongea vitu tofauti na kile uyo Dada kaongelea
Duniani kote nchi zinafanya mambo ili kuvutia wageni wa Mataifa mbali mbali kutembelea nchi zao
Kwaiyo uyo Dada anayo Haki ya kimsingi kulalamika kukosa chakula Halal kwa majibu wa iman yake!!!
Hata Tanzania tunawavutia wageni mbali mbali
Lkn sio kwamba waje wale Ugali wa Bada na Mlenda ❗na wakioji vipi!!
uje juu na kuwaambia ndio Chakula cha Kitanzania icho lazima ufuate utamaduni wetu😀
Sio kweli !!!
Aya yatabaki maneno ya wahuni wazawa wasio na ujuzi wowote juu ya Haki ya wageni kwenye nchi zao !!
Kitimoto kwa dini ya kiisilamu ni halal kula ila ukiwa na njaa na kwenye mazingira ambayo hakuna chakula kingine 😄Nchi tajiri na ambazo ni ancient civilizations kama Japan, China, Korea, India na nyingine za Mashariki ya Mbali huwa zinapendelea wageni walio tayari kuheshimu tamaduni zao. Huwezi kutaka special treatment au entitlement kwa sababu ya imani yako tu kwa mambo ambayo hayana athari hasi kwa binadamu katika jamii hizo ukaeleweka.
Kama Waislamu wangekuwa wana (mzigo) allergy na kitimoto wangeweza kueleweka matakwa yao ila kwa sababu wao wameamua tu kutokula kutokana na story za mtu wa karne ya saba jamii kubwa ya Japan haiwezi na haiwajibiki kijali hayo mahitaji yao.
Nchi tajiri na ambazo ni ancient civilizations kama Japan, China, Korea, India na nyingine za Mashariki ya Mbali huwa zinapendelea wageni walio tayari kuheshimu tamaduni zao. Huwezi kutaka special treatment au entitlement kwa sababu ya imani yako tu kwa mambo ambayo hayana athari hasi kwa binadamu katika jamii hizo ukaeleweka.
Kama Waislamu wangekuwa wana (mzigo) allergy na kitimoto wangeweza kueleweka matakwa yao ila kwa sababu wao wameamua tu kutokula kutokana na story za mtu wa karne ya saba jamii kubwa ya Japan haiwezi na haiwajibiki kijali hayo mahitaji yao.
Arudi kwaoRai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Angesafiri na chakula chake
Ajaomba ukimbizi !!!Arudi kwao
Inabidi saudia waanze kupika kitimoto ili kuvutia wageniKosa lengine kisheria kubeba chakula kuingiza nchi ya watu!!!
Dawa tu kidogo kwa matumizi yako zenyewe lazima huwe na Document ya Doctors balozi waliokupa Visa wajue na wakupe ruhusa!!!!!
Sasa unavutia wageni kumbe msosi wako magimbi na togwa !!!
Tumbo likisumbua naenda Mahakamani kudai fidia❗
Kalazimishwa kwenda huko au nyege na shobo zake tu, si abaki anapoona panafaa au anawashwa na wakunaji ndio wajapan?Hizo tamaduni nazo lazima zitambue utofauti wa tamaduni na kuheshimu imani za wageni wanaotembelea nchi zao.
Muulize huyo kahaba kalazimishwa kwenda huko?au shobo zake?hawa jamaa wanaonaga hii dunia kama ya baba yao mzazi nafurahigi sana netapaka anawapelekea moto, waende hata iraq inatosha sisi makelele hatutakiUkiona huwezi usiende
Shida iko wapi ?
Mbona sioni mataifa mengine wakienda nchi za ki Islam wakilalama punguzeni kudeka basi eboo
NomaMuulize huyo kahaba kalazimishwa kwenda huko?au shobo zake?hawa jamaa wanaonaga hii dunia kama ya baba yao mzazi nafurahigi sana netapaka anawapelekea moto, waende hata iraq inatosha sisi makelele hatutaki
Muulize huyo kahaba kalazimishwa kwenda huko?au shobo zake?hawa jamaa wanaonaga hii dunia kama ya baba yao mzazi nafurahigi sana netapaka anawapelekea moto, waende hata iraq inatosha sisi makelele hatutaki
Itakuwa ameenda kimkakati ili kuzua taharuki kutetea AllahNdivyo alivyoambiwa, ameambiwa ni upuuzi ameruka nchi zote huko alitoka zisizo na kitimoto aje kulalamikia kitimoto Japan.
Rai wengi wa Japan wamemjia juu na kumkanya mwanamke wa Kiarabu aliyetembelea nchi hiyo baada ya kulalamika ameshindwa kupata chakula cha maana halali kwani karibia kila chakula Japan kina aina fulani ya bidhaa ya kitimoto ndani yake.
Raia wengi wamemwambia ni vyema kuheshimu utamaduni wa Japan na kuishi kulingana nao kama vile tu ambavyo wapenda kitimoto hawawezi kwenda Saudi Arabia na kuanza kulalamika kukosa kitimoto.
View attachment 3685857
Umejuaje imani yangu?nyinyi ni wendawazimu lini umeona wajapan wakipinga utamaduni wa saudia au iran? au huyo kahaba anawashwa na wajapani ndio wakunaji?kama kitu hakikufai simple tu unaepuka ya nini mikelele kama umefumaniwa, nampongeza sana bwana benny maana anawasemesha kwa lugha mnayoielewaKupunguza chuki ni Pepo chafu pambana ulitoe kwako !! Dunia ni kijiji jamii kwasasa zinachangamana
Waisrael sio watu wazuri wanauwa watu ovyo mpaka Wakristo wenzio wanauwawa !!
Bahati nzuri mimi nakupa na Ushahidi jinsi Wakristo wenzio wanavyosagwa pale Gaza na Israel unaewapenda kisa chuki Pepo lako!!!!!
Umejuaje imani yangu?nyinyi ni wendawazimu lini umeona wajapan wakipinga utamaduni wa saudia au iran? au huyo kahaba anawashwa na wajapani ndio wakunaji?kama kitu hakikufai simple tu unaepuka ya nini mikelele kama umefumaniwa, nampongeza sana bwana benny maana anawasemesha kwa lugha mnayoielewa