Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

Wabinafsi sana hao ,wakikaa huko maskani wanaona wamemaliza kisa washapata watoto
 
Suala la kuzaa tu halitakiwi sema watu hawajasanuka... Leo mtu aliyeishi duniani hata kama ni tajiri akifa na kumbukumbu zake ukimwambia arudi kuzaliwa tena hatokubali kamwe... Iweje wewe uendelee kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara ulilolizunguka?
 
Kuna tukio limetokea jana niliwaza kama ulivyowaza wewe,nimeumia sana,hv vibolo tuvitumie vizur

Kuna dogo kakwapua hela sheli afu akakimbia nazo,
Akatokea jamaa mmoja yupo vzur kwenye mbio kamkimbiza dogo mpaka kampata

Dogo(miaka 10) kala kichapo sio sana,mpaka naondoka wale walinzi wako nae na wanaendelea kumpiga
 
Hakuna mwanaume anayependa mtoto wake ateseke kipumbavu. Shida mnawang'ang'ania watoto.
Kwaiyo kama ana ng’ang’ania mtoto ndio wewe ushindwe kuhudumia watoto wako

Hebu jifunze co-parents kwanza… unataka kumtenganisha mama na mwana kwaajili gani?? Hudumia mtoto wako acha kuleta visingizio visivyo na uhalisia
 
Sababu zawatoto kuteseka ninyingi kila walau ungepata sababu zahuyo mtoto kuteseka ndouje tuchambue ilikamakuna mtu anadalili za tabia hizo apate ushauri vinginevyo utakuwa imefurahisha genge mkuu
Ok nafurahisha genge.
 
Inakuaje MTU anashindwa kumlea mtoto mmoja ?

Watu wanabidi kufundishwa how to be responsible na life yao.

Kwakuwa kutanuana Kama unavyosema is human nature so you can't go against with nature .

Either watumie family planning like Condom , sindano n.k
 
Good ndiyo maana nimesema wasaidiane kupeana elimu kama hawapo tayari Kwa kulea sio kutanuana tu.
 
Katika nchi ambayo Ina rate kubwa ya unemployment inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…