Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

As long as mwanaume ume hajakutamkia anataka kuzaa na wewe....the blame shuld fall squarely on the woman. Kenge kabisa mwenzio kaja kiburudani wee unataka kumbebesha majukumu he not ready to handle
Aisee!!
 
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea.

Imeniumiza sana aisee nikimtazama mtoto analia mpaka anatetemeka miguu amechoka. Hivyo nikaona nimpandishe gari(daladala) pia nikampa pesa kidogo ya matumizi.

Lakini naamini ile pesa niliyompa sio solution yani nisawa sijafanya kitu kwasababu hiyo pesa ndani ya wiki tu itaisha na mambo yataendelea kuwa magumu kwa yule mtoto. Nimewaza Sana aise na naamini kuna watoto wengine wanateseka Sana kwasababu ya watu wawili walio tanuana miguu na kukosa uelewa.

Sasa nawakumbusha na nyinyi ambao bado mnaendelea kutanuana miguu, nawakumbusha kuwa Kuna mimba na kuna kulea naomba mkumbuke hilo aise mnatesa sana watoto.

Mwanamke kabla hauja tanua miguu yako na wewe kaboy ambaye unajua kabisa hautaweza kulea kabla haujafanya chochote kwa huyo mwanamke naomba ukumbuke kuna mimba na kulea sio unatanua tu au unaingiza tu Kama mbwa watoto wanateseka Sana.

Matokeo yake tunatengeneza watu wenye roho mbaya watoto walio teswateswa wakiwa wadogo asilimia kubwa wakiwa watu wazima wanakosa utu wanakuwa hawana huruma.

Unakuta mtu nikiongozi hana huruma na Nchi hana huruma na watu wake hana huruma na wananchi kumbe deep chanzo ni malezi yasio bora unyanyasaji na mateso alipo kuwa mtoto wake up women and men .

Kama mwanamke wako hijatambui hajui siku zake za hatari wewe mwanaume msaidie mpe elimu ajitambue kama unajua hautaweza kulea mtoto sio wote mnakuwa mazezeta mnatanuana tu mnafanyafanya tu kama mbwa mwizi.

Tunawatesa watoto.
Mleta hoja nakupongeza kwa jambo la kiutu ulilolifanya. Pamoja na pongezi, naona umetumia hisia zaidi katika kufikisha hitimisho hili. Nasema haya kwa sababu; Mosi, hujafanya mazungumzo ya kina ili ubaini ni kwa sababu gani hawa watu wanatembea umbali mrefu vile kwa miguu (kama ni kweli). Pili, hujafanya ulinganisho wa kimazingira Kati ya hao wanaotembea hapa mjini na maisha yetu ya nje ya Miji ambako hakuna mifumo mizuri ya kiusafiri kama mjini hivyo kuwafanya kutembea umbali mrefu kwa miguu au kwa baisikeli ni utaratibu wao wa kawaida. Na tatu, mleta hoja hujatambua kuwa wanadamu tuko tofauti tuu vyovyote iwavyo, mfano uwepo wa wenye hali nzuri na duni, kupitia hali na majira tofauti ya kiuchumi. Sasa je, tuache kunyanduana kisa uchumi? Wacha kabisa ile kitu tamu asikwambie mtu. Wacha watu wapanuane enable hali za kimaisha tutapambananazo mbele kwa mbele.
 
Binadamu aliyeumbwa kwa mavumbi na mavumbini atarudi hawezi kukuelewa, maana raha anayopata kwa kutanuana miguu inazidi shida za kutembea kwa miguu, maana shida utaona ww unayetembea kwa gari, wenzako wakiwa wanapigana miti wala hawajui hizo shida unasema wewe, hivyo waache, ndio Dunia ilivyo, wako wanatembea hadi kwa magoti na viwete ila kupanuana miguu wanatanuana sana tu, so ndio maisha ya binadamu na hata uishi vizuri vipi au vibaya vipi utayaacha na Dunia itaendelea ya wenye shida na raha na wote tunapita..!!

Maisha ya binadamu ni fumbo sana.
 
Dada zetu hawa wanafeli yeye ndyo mwenye asilimia kubwa ya kuzuia ujauzito lakin utakuta mtu anazalishwa mtoto wa kwanza,wapili na kuendelea inaumiza sana halafu na wanaume hivi unaachaje kulea mwanao huna tofauti na mbwa akizalisha anasepa zake malezi ni majukum ya baba halafu jitu kama hilo utalikuta kijiweni linabishana mambo ya mpira dada zangu muwe mnaangalia na watu wa kuzaa nao nyie ndyo mna asilimia kubwa ya kuzuia mimba
Kweli kabisa Mkuu inatakiwa wajielewe.
 
Hamna kitu inaumiza kama mtoto kuteseka kwa ujinga wa wazazi
 
Mleta hoja nakupongeza kwa jambo la kiutu ulilolifanya. Pamoja na pongezi, naona umetumia hisia zaidi katika kufikisha hitimisho hili. Nasema haya kwa sababu; Mosi, hujafanya mazungumzo ya kina ili ubaini ni kwa sababu gani hawa watu wanatembea umbali mrefu vile kwa miguu (kama ni kweli). Pili, hujafanya ulinganisho wa kimazingira Kati ya hao wanaotembea hapa mjini na maisha yetu ya nje ya Miji ambako hakuna mifumo mizuri ya kiusafiri kama mjini hivyo kuwafanya kutembea umbali mrefu kwa miguu au kwa baisikeli ni utaratibu wao wa kawaida. Na tatu, mleta hoja hujatambua kuwa wanadamu tuko tofauti tuu vyovyote iwavyo, mfano uwepo wa wenye hali nzuri na duni, kupitia hali na majira tofauti ya kiuchumi. Sasa je, tuache kunyanduana kisa uchumi? Wacha kabisa ile kitu tamu asikwambie mtu. Wacha watu wapanuane enable hali za kimaisha tutapambananazo mbele kwa mbele.
Well nazani wewe ndiyo haujaelewa pia wewe ndiye umetumia hisia kuandika haya yote uliyo yaandika kwanini nitakujibu Kwa hoja hizi 👇.
1. Sijasema watu wasinyanduane Kama unavyosema wewe ila nimesema wanyanduane huku wakitambua Kuna matokeo ya kunyanduana Kama mimba na kulea.

2. Unasema inawezekana ni utaratibu wao kutembea Kwa miguu nawakati nimeleza hapa juu nilizungumza na yule Binti akasema kakosa nauli maisha yake magumu Hana msaada Sasa sijajua haujaelewa nini Hapo mzee .

3. Siendelei kukuelewesha Kama wewe unaona sahihi kunyanduana Kama unavyo sema na kuacha damu yako ikiteseka endelea mzee kunyanduana hovyo hovyo Kwa sababu unadai ni nature.
 
Binadamu aliyeumbwa kwa mavumbi na mavumbini atarudi hawezi kukuelewa, maana raha anayopata kwa kutanuana miguu inazidi shida za kutembea kwa miguu, maana shida utaona ww unayetembea kwa gari, wenzako wakiwa wanapigana miti wala hawajui hizo shida unasema wewe, hivyo waache, ndio Dunia ilivyo, wako wanatembea hadi kwa magoti na viwete ila kupanuana miguu wanatanuana sana tu, so ndio maisha ya binadamu na hata uishi vizuri vipi au vibaya vipi utayaacha na Dunia itaendelea ya wenye shida na raha na wote tunapita..!!

Maisha ya binadamu ni fumbo sana.
Well well Mkuu naona umeona jambo la kutanua tu ila haujaona suala la mtoto point ni mtoto sio kingine.
 
Well nazani wewe ndiyo haujaelewa pia wewe ndiye umetumia hisia kuandika haya yote uliyo yaandika kwanini nitakujibu Kwa hoja hizi 👇.
1. Sijasema watu wasinyanduane Kama unavyosema wewe ila nimesema wanyanduane huku wakitambua Kuna matokeo ya kunyanduana Kama mimba na kulea.

2. Unasema inawezekana ni utaratibu wao kutembea Kwa miguu nawakati nimeleza hapa juu nilizungumza na yule Binti akasema kakosa nauli maisha yake magumu Hana msaada Sasa sijajua haujaelewa nini Hapo mzee .

3. Siendelei kukuelewesha Kama wewe unaona sahihi kunyanduana Kama unavyo sema na kuacha damu yako ikiteseka endelea mzee kunyanduana hovyo hovyo Kwa sababu unadai ni nature.
Kwani kukosa nauli pekee ndio kipimo cha maisha magumu? Na ulithibitishaje hayo alokwambia nduguyangu? Inawezekana kabisa huyo anamtumia mtoto kama sehemu ya kitegauchumi kwa kuonewa huruma na wasamalia kama hivi. Basi tuishie hapa ila kunyandua hatuachi kisa uchumi. 😆😆😆😆😆
 
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea.

Imeniumiza sana aisee nikimtazama mtoto analia mpaka anatetemeka miguu amechoka. Hivyo nikaona nimpandishe gari(daladala) pia nikampa pesa kidogo ya matumizi.

Lakini naamini ile pesa niliyompa sio solution yani nisawa sijafanya kitu kwasababu hiyo pesa ndani ya wiki tu itaisha na mambo yataendelea kuwa magumu kwa yule mtoto. Nimewaza Sana aise na naamini kuna watoto wengine wanateseka Sana kwasababu ya watu wawili walio tanuana miguu na kukosa uelewa.

Sasa nawakumbusha na nyinyi ambao bado mnaendelea kutanuana miguu, nawakumbusha kuwa Kuna mimba na kuna kulea naomba mkumbuke hilo aise mnatesa sana watoto.

Mwanamke kabla hauja tanua miguu yako na wewe kaboy ambaye unajua kabisa hautaweza kulea kabla haujafanya chochote kwa huyo mwanamke naomba ukumbuke kuna mimba na kulea sio unatanua tu au unaingiza tu Kama mbwa watoto wanateseka Sana.

Matokeo yake tunatengeneza watu wenye roho mbaya watoto walio teswateswa wakiwa wadogo asilimia kubwa wakiwa watu wazima wanakosa utu wanakuwa hawana huruma.

Unakuta mtu nikiongozi hana huruma na Nchi hana huruma na watu wake hana huruma na wananchi kumbe deep chanzo ni malezi yasio bora unyanyasaji na mateso alipo kuwa mtoto wake up women and men .

Kama mwanamke wako hijatambui hajui siku zake za hatari wewe mwanaume msaidie mpe elimu ajitambue kama unajua hautaweza kulea mtoto sio wote mnakuwa mazezeta mnatanuana tu mnafanyafanya tu kama mbwa mwizi.

Tunawatesa watoto.
Wanawake wenyewe hawa,ambao wengi wao wanao wanawapenda maplayboy, wahuni na waume za watu sababu ya tamaa za fedha.Wanawake wenyewe hawa ambao wapo tayari, kubanana kwa mume wa mtu na kumwacha mwanaume mwenye kipato cha kawaida kisa mume wa mtu anahela.

Wanawake hawa ambao wanawakataa good/nice boy sababu za kijinga, mara utawasikia kitandani sio mzuri, hajui kuvaa,hana swaga nk.Huku wanawakubalia maplayboy. Siku zote huwaga na washauri wanawake good/nice anaweza asiwe na swag,hajui kuvaa au kitandani asiwe mzuri,ila hawa jamaa wanajua kuitunza na kuilea familia na mara nyingi ni watafutaji, ila ndio hivyo wanawake walio wengi hili kundi huwa wanalidharau kipindi wakiwa wamoto,ila wakisha fikaga 28+ huanza kuwakumbuka na kipindi hiko kishaanza kuchoka au amesha zalishwa.

Wapo single mother wanaume wanastahili lawama,ila wapo walio jitakia wanatembea na maplay, mme wa mtu au muhuni ambaye yy anazalisha unategemea huyo mwanamke asiwe single mother. Wengi wao wanaacha kutumia utashi na akili kufanya maamuzi, wanaendekeza nyege na tamaa za fedha.
 
Well well Mkuu naona umeona jambo la kutanua tu ila haujaona suala la mtoto point ni mtoto sio kingine.

Mtoto ni matokeo ya kutanuana miguu, kupigana miti hovyo, ili watoto wa mitaani wasitokee lazima kutanuana miguu hovyo lidhibitiwe, au kuwe na uzazi wa mpango kwa wenye ndoa tu, sasa nikasema Binadamu wa leo awe tajiri au maskini, utaweza mzuia kutanuana miguu? Hatuwezi, so watoto hao wataendelea kuwepo hadi kizazi na kizazi ndio Dunia hiyo..!!
 
Kwani kukosa nauli pekee ndio kipimo cha maisha magumu? Na ulithibitishaje hayo alokwambia nduguyangu? Inawezekana kabisa huyo anamtumia mtoto kama sehemu ya kitegauchumi kwa kuonewa huruma na wasamalia kama hivi. Basi tuishie hapa ila kunyandua hatuachi kisa uchumi. 😆😆😆😆😆
Ok tuishie hapa Mkuu ila point ni mtoto au tuseme watoto wanaoteseka Kwa uzembe wetu . Kama unanyanduana Kwa akili hainashida Mkuu.
 
Wanawake wenyewe hawa,ambao wengi wao wanao wanawapenda maplayboy, wahuni na waume za watu sababu ya tamaa za fedha.Wanawake wenyewe hawa ambao wapo tayari, kubanana kwa mume wa mtu na kumwacha mwanaume mwenye kipato cha kawaida kisa mume wa mtu anahela.

Wanawake hawa ambao wanawakataa good/nice boy sababu za kijinga, mara utawasikia kitandani sio mzuri, hajui kuvaa,hana swaga nk.Huku wanawakubalia maplayboy. Siku zote huwaga na washauri wanawake good/nice anaweza asiwe na swag,hajui kuvaa au kitandani asiwe mzuri,ila hawa jamaa wanajua kuitunza na kuilea familia na mara nyingi ni watafutaji, ila ndio hivyo wanawake walio wengi hili kundi huwa wanalidharau kipindi wakiwa wamoto,ila wakisha fikaga 28+ huanza kuwakumbuka na kipindi hiko kishaanza kuchoka au amesha zalishwa.

Wapo single mother wanaume wanastahili lawama,ila wapo walio jitakia wanatembea na maplay, mme wa mtu au muhuni ambaye yy anazalisha unategemea huyo mwanamke asiwe single mother. Wengi wao wanaacha kutumia utashi na akili kufanya maamuzi, wanaendekeza nyege na tamaa za fedha.
Ni hatari Sana Mkuu inatakiwa wajielewe aisee.
 
Mtoto ni matokeo ya kutanuana miguu, kupigana miti hovyo, ili watoto wa mitaani wasitokee lazima kutanuana miguu hovyo lidhibitiwe, au kuwe na uzazi wa mpango kwa wenye ndoa tu, sasa nikasema Binadamu wa leo awe tajiri au maskini, utaweza mzuia kutanuana miguu? Hatuwezi, so watoto hao wataendelea kuwepo hadi kizazi na kizazi ndio Dunia hiyo..!!
Sahihi Mkuu lakini tusiache kukumbushana wapo watakao elimika na wakawaelimisha na wengine .
 
Wanawake na sisi akili zetu kuna mahala huwa zinagandaga mtusamehe bure😅
Unaona kabisa kila kitu ni red flag ila bado unajiachia .. lakini pia kuna kundi kubwa linazaa kama trend/ wengine kwakutojua siku zao
 
Ni hatari Sana Kwa watoto, msaidiane kupeana elimu aisee tunawatesa watoto.
 
Back
Top Bottom