Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

Huwa wanasema kila kiumbe kinakuja na riziki yake. Matokeo yake kiumbe kinaishia kunyayasika na taabu
 
Yani ni huzuni Mkuu.
 
Watoto wanateseka Sana Mkuu.
 
Kanuni ni moja TU,km tumeshindwana km huna uwezo wa kulea Watoto naomba muachie mwanaume,sio kwenda TU naye bila kuangalia vp nitamulea.
 
AmKATRINA umesikia?
 
Uko sahihi kabisa.Mungu alipotupa amri ya kutokuzini bila shaka alikuwa anazuia kuzaliwa watoto wasiokuwa na bima ya malezi kutoka kwa wazazi wao.Naamini serkali ikiweka sera ya malezi ya watoto kwanzia mimba italazimisha ajulikane mume na kwamba anafanya kazi.mimba mingi ya mitaani inasababishwa na wanaume wavivu na wasiofanya kazi ndo maana watoto wakizaliwa mzigo wa kulea unabaki kwa wanawake pekee.
 
Ni huzuni Mkuu watoto wanateseka Sana.
 
Dada zetu hawa wanafeli yeye ndyo mwenye asilimia kubwa ya kuzuia ujauzito lakin utakuta mtu anazalishwa mtoto wa kwanza,wapili na kuendelea inaumiza sana halafu na wanaume hivi unaachaje kulea mwanao huna tofauti na mbwa akizalisha anasepa zake malezi ni majukum ya baba halafu jitu kama hilo utalikuta kijiweni linabishana mambo ya mpira dada zangu muwe mnaangalia na watu wa kuzaa nao nyie ndyo mna asilimia kubwa ya kuzuia mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…