Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

Tulikuwa vizuri tuu mwanzo,Uchumi umeyumba,Wacha atembee yataisha!
 
Ni kwel brother. Hakuna kitu kinaniuma kama hicho..ishu za watoto.

Mwaka flan navula fery kivukoni, naona mtoto yuko na mama yake analia sana, ni kama kuna kitu analilia ila mama yake anamkatalia kikauzu haswaaa.
Roho ikaniuma nikasogea, nilauliza shida nini dada? Akanambia mtoto ana kiu analilia maji nimnunulie. Nikajua hapa hela hakuna. Nikatoa 5k nikampa "mnunulie maji"

Kuna kipindi flan pia sikumbuki mwaka niko kwenye daladala ,ilikua usiku, mbele yangu (kwenye siti ya engine pale) dada kapakata mtoto, analia, kambeba kimachale , she was very sad that woman. Kama mzaz roho ikaniuma kumuona yule dogo, na hakuna mtu mwenye habar. Nikauliza, dada mtoto tabu ni gani? Akasema "tulimtahiri juz ila kidong kimefunguka leo nakirudishia tu ila hali yake bado si nzuri na sina pesa ya hospitali" nikataka kuuliza baba yake vipi? Nikaona huu umbeya sasa . Nikatoa 20k nikamwambia mpeleke usiku hii kitu cha afya usilale na mtoto namna hii.

Hiz scennario nimekutana nazo nyingi sana.
Na hata mimi kabla maisha hayaja kaa sawa nishapigika sana.
Ilishawah kunilazimu kutembea km nyingi sana niko na yf na dogo sema ndio hivyo dogo nimebeba mwenyewe maana mpaka yf nikawa namuonea huruma.

So nikikutanaga na hiz situation huwa nazingundua mapema sana na if can, na offer help bila kuulizwa.

Maisha haya bwana..
 
Kwahiyo unachotaka kusema ni kuwa mwanamke kutelekeza mtoto na kwenda kula raha ni sawa ila mwanaume kushindwa kulea mtoto na mwanamke asiye na utimamu wa kiakili wala msingi wa maadili tatizo anakuwa ni mwanaume?

Why unakwepa kuwajibisha mwanamke kwa nguvu sawa na ile unayotumia kumuwajibisha mwanaume?

Nadhani ifike hatua tuanze kuzingatia kuwa wanawake nao ni binadamu wenye utashi na maamuzi.

Mambo ya kuwapa "Free Benefit of a doubt card" hayatafanikiwa katika kizazi hiki cha wanaume wenye macho mbele ya uso,kisogoni,utosini,chini ya kidevu na pande mbili zote za kichwa. Tunatazama uwajibikaji kwa jicho la 360.

Hakuna kusema mwanamke hapa amekosea sababu mwanaume kasababisha yeye wakati anafanya uzembe alikuwa hatambui madhara,why sasa akwepe kuwajibika?

Hawa masingle mother wengi wao kuteseka ni kitu wamejitakia,ukiwauliza hakuna watu responsible waliwakataa sababu walikuwa ni watu wamenyooka utaona sura zao namna zinapatwa na aibu. Kila single mother,katika story yake ya maisha yake ya kuteswa na wanaume,kuna story ya wanaume aliyewatesa yeye na kuwakataa hatoiweka wazi au kuihadithia huku nafsi yake ikijua wazi kuwa hawa wanaume walikuwa ni sahihi kwake na wangempa maisha mazuri na anajutia kutowaheshimu au kukubalia mojawapo awe mume wake.

Atahadithia tu namna wanaume aliowataka na kuwafuata yeye kwa utashi wake wa udangaji na umalaya,kisha wakamnyoosha.

Wengi wamelala na wanaume kwasababu walikuwa wanajaribisha,au kutest mahusiano huku wakiachia miili yao itumike kama wake halali. Mimba ikiingia lawama kwa mwanaume ambaye alishampa angalizo kuwa hatalea mimba wala mtoto kama mwanamke akiruhusu ujauzito uingie,kwann hawasemi kama hautajihusisha na mtoto basi hapa ndipo tunaishia, kwann huwa wanaendelea kulala nao na kujibebesha ujauzito halafu wanasema "nitalea mtoto wangu mwenyewe"?
 
Wa kulaumiwa ni huyo alietanua miguu mkuu kwanini akubali kulombwa asiripoti kwa mjumbe kabla?
 
Tutumie kondooo
 
Endelea kuwa na moyo wa hivyo mkuu
 
Mwanamke akitongozwa akaripoti kwa mjumbe sio anakubali kirahisi tu

Hivi siku hizi mbona wanawake hawawezi kukataa wakitongozwa?
Wana matatizo ya afya ya akili.Wanawaza tu ngono ngono ,wakitikisa makalio every time.Kuna video y form six shule flani.Inamaliza kila kitu kuwahusu hawa wadudu
 
Watu wengi duniani hawakidhi kuwa wazazi ila wanalazimisha au ni bahati mbaya tu wamekuwa wazazi
 
Shukurani Sana Mkuu usichoke kusaidia pale unapo weza pia hongera Kwa kupambania familia yako Mzee.
 
Aise ni changamoto Sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…