Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

Inawezekana wanawake ndo wapumbavu au vijana ndo wamekosa uwezo wa kifedha na mbinu za kuishi na mke. Sababu yoyote ile matokeo si sawa kwa watoto wa malezi ya upande mmoja. Vijana watakaozaa watoto wa kiume bila kuwa sehemu ya malezi na bila kuwa makini na uchaguzi wa mama bora watakuwa na watoto wa kiume wenye ukike na wa kike wenye udangaji. Hili tatizo litaendelea kuwa kubwa sababu more single mothers wa hovyo watalea watoto wa hovyo, watoto wa hovyo watakua wakubwa nao wataendeleza akili za hovyo hivyo hivyo nakuendelea.
Then tunajenga Jamii ya hovyo isiyo na maadili ndo haya ya kuendesha biashara binafsi kwa kodi zetu au kufadhili timu za mpira kwa kodi zetu huu ni upotofu mkubwa wa maadili sababu ya malezi mabovu.Jamii ya hovyo uzaa taifa la hovyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Kabisa mkuu. Sasa kijana wa pale kinondoni na kibukta chake ana uwezo gani wa kuihoji na kuiwajibisha serikali wakati akili inawaza kuchakata na kukimbia? Hawezi sana sana atawaza apate limama lenye crown apewe.
 
True chek SAsa hivi tuna kizazi cha mawazo ya ngono tu, hata hapa jf tulitegemea kupata watu intellectual lakini wengi wao ni ngono chek uzi za ngono zinavyokimbia
 
Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kumuacha na ukaenda oa mwanamke mwingine hata kama yeye ndie chanzo cha upumbavu huo yaani unakuwa umeharibu kabisa mfumo wake wa maisha kabisa. By study wengi wao huwa hawako SAwa Kisaikolojia hata kama wakienda kanyaga mafuta ya mtume wao.
 
Hahaha
 
Na yeye si akaolewe na mwanaume mwingine?. Kwa mtume kufanya nini tena?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi haipo hivo...nna mfano hai..nna swahiba wangu ni ke..yeye kakaa kwnye ndoa miaka 10 ndo kuja kubariki ndoa kanisan.. baada ya kubariki ndoa wameishi miaka 3 hv tunavoongea talaka.tayari kesho wanaenda kuchukua talaka zao mahakamani...cha msingi ni mwamme kuwa na msimamo
 
Umeongea sahihi Kabisa.

Ukishabariki ndoa au kumuoa wengi hubadilika na kuleta mambo ya kipuuzi puuzi
 
Na yeye si akaolewe na mwanaume mwingine?. Kwa mtume kufanya nini tena?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hao wanaume wa nje si huwa wanawapenda wake zetu sababu wanapata cheap ngono ile ngono ya uchovu wa stress za ndoa. Mke akiachika nao lazima hula kona nani alee mzigo wakati mkataba ulikuwa ni kupata ngono. Mume akikimbia na michepuko yote hula kona. Faraja pekee iliyobaki baada ya kulikoroga ni kuwa karibu na Mtume wao.
 
Back
Top Bottom