Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Nakuja usifunge mlango nakuja mda si mrefuWala sijapeperuka mai wangu, nachukua notisi mbili tatu….. fanya ukuje piemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja usifunge mlango nakuja mda si mrefuWala sijapeperuka mai wangu, nachukua notisi mbili tatu….. fanya ukuje piemu.
Then tunajenga Jamii ya hovyo isiyo na maadili ndo haya ya kuendesha biashara binafsi kwa kodi zetu au kufadhili timu za mpira kwa kodi zetu huu ni upotofu mkubwa wa maadili sababu ya malezi mabovu.Jamii ya hovyo uzaa taifa la hovyo.Inawezekana wanawake ndo wapumbavu au vijana ndo wamekosa uwezo wa kifedha na mbinu za kuishi na mke. Sababu yoyote ile matokeo si sawa kwa watoto wa malezi ya upande mmoja. Vijana watakaozaa watoto wa kiume bila kuwa sehemu ya malezi na bila kuwa makini na uchaguzi wa mama bora watakuwa na watoto wa kiume wenye ukike na wa kike wenye udangaji. Hili tatizo litaendelea kuwa kubwa sababu more single mothers wa hovyo watalea watoto wa hovyo, watoto wa hovyo watakua wakubwa nao wataendeleza akili za hovyo hivyo hivyo nakuendelea.
Kabisa mkuu. Sasa kijana wa pale kinondoni na kibukta chake ana uwezo gani wa kuihoji na kuiwajibisha serikali wakati akili inawaza kuchakata na kukimbia? Hawezi sana sana atawaza apate limama lenye crown apewe.Then tunajenga Jamii ya hovyo isiyo na maadili ndo haya ya kuendesha biashara binafsi kwa kodi zetu au kufadhili timu za mpira kwa kodi zetu huu ni upotofu mkubwa wa maadili sababu ya malezi mabovu.Jamii ya hovyo uzaa taifa la hovyo.
True chek SAsa hivi tuna kizazi cha mawazo ya ngono tu, hata hapa jf tulitegemea kupata watu intellectual lakini wengi wao ni ngono chek uzi za ngono zinavyokimbiaKabisa mkuu. Sasa kijana wa pale kinondoni na kibukta chake ana uwezo gani wa kuihoji na kuiwajibisha serikali wakati akili inawaza kuchakata na kukimbia? Hawezi sana sana atawaza apate limama lenye crown apewe.
HahahaTrue chek SAsa hivi tuna kizazi cha mawazo ya ngono tu, hata hapa jf tulitegemea kupata watu intellectual lakini wengi wao ni ngono chek uzi za ngono zinavyokimbia
Bongo kijana anaoa kwanza ndo aanze kutafuta maisha, akiamini mke na watoto hufungua milango ya baraka.
Matumizi ya Aloo wewe utakua Mpare 😀Aloo kumbe
Sawa kabisa Togolani Mavura....Sawa mdogo wangu,
Na yeye si akaolewe na mwanaume mwingine?. Kwa mtume kufanya nini tena?Hakuna kitu kinachomuumiza mwanamke kama kumuacha na ukaenda oa mwanamke mwingine hata kama yeye ndie chanzo cha upumbavu huo yaani unakuwa umeharibu kabisa mfumo wake wa maisha kabisa. By study wengi wao huwa hawako SAwa Kisaikolojia hata kama wakienda kanyaga mafuta ya mtume wao.
Hehehe
Siku hizi haipo hivo...nna mfano hai..nna swahiba wangu ni ke..yeye kakaa kwnye ndoa miaka 10 ndo kuja kubariki ndoa kanisan.. baada ya kubariki ndoa wameishi miaka 3 hv tunavoongea talaka.tayari kesho wanaenda kuchukua talaka zao mahakamani...cha msingi ni mwamme kuwa na msimamo
[emoji736][emoji120][emoji106] Umesomeka Kiongozi!!Hiyo ndio shida ya wengi.
Kama unaona muda unaenda, weka mwanamke ndani.
Tafuta huku unapata uzoefu na kumtiisha Mwanamke.
Akizingua fukuza
Hao wanaume wa nje si huwa wanawapenda wake zetu sababu wanapata cheap ngono ile ngono ya uchovu wa stress za ndoa. Mke akiachika nao lazima hula kona nani alee mzigo wakati mkataba ulikuwa ni kupata ngono. Mume akikimbia na michepuko yote hula kona. Faraja pekee iliyobaki baada ya kulikoroga ni kuwa karibu na Mtume wao.Na yeye si akaolewe na mwanaume mwingine?. Kwa mtume kufanya nini tena?
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app