Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
- Thread starter
- #41
Stress nitoe wapi Broo? Tatizo unawaza kila atakae kuwa upande wa kusema kitu positive kuhusu wanawake ni mwanamke, wengine tupo kuandika uhalisia.Wewe utakuwa ulidate na wahuni wakakufanya vibaya. Anyways, kama una stress zako hebu nenda kaonane na wataalamu wa Therapy wakutoe katika hayo maumivu na sonona ya mahusiano ili uweze kufikiria sawa sawa.