Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

Fursa zenyewe ni mpaka mtoe rushwa ya ngono anyway endeleeni kukaza mafuvu.
 
Shida ya Wanawake Ni akianza kushika pesa anajiona maisha ameyapatia full kujishaua na kuvimba.
Mwanamke akipata Pesa hata Mume hamtaki. Anaona ni heri Aishi peke yake. Hivyo ukae ujue yupo na wewe sababu tu Hana pesa. Wewe ukipata pesa unafikiria jinsi ya kumpendezesha kumpa furaha na kumtoa out.
 
Hoja Ni wanawake wajifunze kujiweka kwanza Kama ambavyo wanaume hujiweka kwanza
Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mwanamke anayejiweka kwanza, mwanamke anayejiweka kwanza Hana tofauti na mwanaume na ni liability katika ndoa na malezi ya watoto na sio assets.
Wakina Wema Sepetu, Fatma Karume, Maria Sarungi walikuwa wanajiweka kwanza, nahisi mnaona maisha Yao yalivyo, hasahasa Fatma na Sarungi, hawana furaha ya kweli maana walijaribu kuvaa viatu vya wanaume na wamewakosa wanaume wa kumaliza nao maisha.
Mwanaume hawezi kukubali kuoa mwanaume mwenzake, ni dhambi hata mbele za Mungu.
 
Hii code.

Mwanamke ukipata danga we tembea nalo tu ata kama una kijamaa chako.
 
Hakuna mwanaume anayetaka kuoa mwanamke anayejiweka kwanza, mwanamke anayejiweka kwanza Hana tofauti na mwanaume na ni liability katika ndoa na malezi ya watoto na sio assets.
Wakina Wema Sepetu, Fatma Karume, Maria Sarungi walikuwa wanajiweka kwanza, nahisi mnaona maisha Yao yalivyo, hasahasa Fatma na Sarungi, hawana furaha ya kweli maana walijaribu kuvaa viatu vya wanaume na wamewakosa wanaume wa kumaliza nao maisha.
Mwanaume hawezi kukubali kuoa mwanaume mwenzake, ni dhambi hata mbele za Mungu.
Kukosa furaha duniani Ni matokeo tu, Kuna walioolewa wako na huzuni kibao tunaona wanahangaika na talaka na migogoro, kuolewa sio chanzo Cha furaha,furaha inatoka within a person,so usichanganye Mambo hapa,Sio kila aliyeolewa ana furaha na sio kila asiyeolewa ana huzuni.....haya mambo ni zigzag na matokeo ya muda, na mazingira
 
wanawake tulizeni mioyo yenu acheni kuyumbishwa tuzeni ndoa zenu kama unataka uishi maisha yako basi ishi peke yako ila kama umeolewaa msikilize mmeo
 
Yan mtu unajiona una miakili mingi ya maisha afu aishie tu kulea tu watoto ndani ya nyumba??, Hapana, Hayo Ni matumizi mabaya ya akili ya wanawake. Eti stay home I will provide everything, no jamani.
Feminist kama feminist
 
Back
Top Bottom