Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

Wewe utakuwa ulidate na wahuni wakakufanya vibaya. Anyways, kama una stress zako hebu nenda kaonane na wataalamu wa Therapy wakutoe katika hayo maumivu na sonona ya mahusiano ili uweze kufikiria sawa sawa.
Stress nitoe wapi Broo? Tatizo unawaza kila atakae kuwa upande wa kusema kitu positive kuhusu wanawake ni mwanamke, wengine tupo kuandika uhalisia.
 
Aiseee kupata mwanamke mwenye akili na upendo kwa sasa hivi ni kazi sana
 
Una mume dada?Je umeolewa? Tafuta maishaaa ukimaliza tafuta mume ili ukubali kuwa chini yake.
Huyu yupo kipindi cha mwisho kuingia menaopause kama siyo mwisho wa mwaka huu basi mwakani hatoboi so anakuja kuwatia ujinga wale wanaochipukia.

Unfortunately,mfano wa kipofu kumuongoza kipofu mwenzake unaa-aply sana kwa hii jinsia.
 
In most cases, mmoja Kati ya wapendanao akithubutu kuenda mbali na mwenzake inakuwa ndo imetoka hiyo,Yaani mahusiano yatayumba yumba mpaka yavunjike.

Kumanage long distance r/ships Ni kazi ngumu Sana especially kwa sisi waafrika.

Out of sight out of mind.
 
Shida ya Wanawake Ni akianza kushika pesa anajiona maisha ameyapatia full kujishaua na kuvimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…